Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

Picha hii ya zamani sana kipindi hicho edo alikuwa kijana waache kujifariji
 
Monduli kuanzia udiwani mpaka Uraisi CCM itashinda kwa kishindo kabisa. Wamasai wakimtrust mtu au chama kuwatoa ufanye kazi sio kama wachaga wanageuka kama kinyonga
 
Monduli mbunge atatoka ccm, ila kwa urais na madiwani chadema ndio mpango mzima, endeleeni kujipa moyo
 
Watu meburudika kwa Fiesta baada ya kumzomea ... safi sana Mbeya ..
Yapi hayo? Unaongelea waliokwenda kumzomea Magufuli ila wakajikuta wanamalizia kwakumshangilia? Kaa mbali na kichwa cha Magufuli, yeye ni zaidi ya vichwa vya viongozi wenu kumi wa Ukawa akiwemo na Lowasa na Mbowe. He knows knows how to turn a challenge into an opportunity.
 
Jamaa zangu wa IT wananiambia mambo safi kwani CCM wamewamegea kiasi cha kutosha na bado watawakuyunga tu ... CCM ilikuwa lazima IFE! ... If only you can read btn the lines ... Ishara ziko wazi sana ...
Hahaha kwahuyo mtuwenu halipo hilo
 
Wanainchi wa Monduli kwa style tofauti wamesema wao bado wanatambua chama mama,chama cha Mwalimu Nyerere na wapo tayari muda wowote kumuunga mkono mgombea yeyote anayetokana na chama cha mwalimu.

Ata me nipo monduli lowassa hakuna alililo fanya uku mm kura yangu kwa Magufuri
 
Back
Top Bottom