Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Safi sana Monduli ninyi mnajitambua. Tuko pamoja na ninyi mpaka tarehe 25 October. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI
Wakazi wa Monduli mpo sahihi chagueni chama chenu cha ukombozi.
Hongereni sana.Msije mkawa mnajiliwaza tu
Hata mimi naamini hao wanainchi ni wazalendo, wametanguliza maslahi mapana ya Taifa.
hahahahahahaha ... mtafukua hadi mapicha ya karne ya kumi na mbili ... Mwaka huu CCM wanangolewa kama mihogo ...
Wakazi wa Monduli mpo sahihi chagueni chama chenu cha ukombozi.
Picha ya zamani umeimezesha maneno
Nyie ndio mnajiliwaza
Safi sana Monduli ninyi mnajitambua. Tuko pamoja na ninyi mpaka tarehe 25 October. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI
Labda,maana baada ya kupewa gas kwa wachina na watanzania tunawashabikia waliotoa gas yetu bure lazima tukapimwe ubongo.
Yapi hayo? Unaongelea waliokwenda kumzomea Magufuli ila wakajikuta wanamalizia kwakumshangilia? Kaa mbali na kichwa cha Magufuli, yeye ni zaidi ya vichwa vya viongozi wenu kumi wa Ukawa akiwemo na Lowasa na Mbowe. He knows knows how to turn a challenge into an opportunity.
Ni hao wanaoonekana kwenye picha au?
Kati ya Chama kitakachopotea kwenye ulingo wa siasa Tanzania ni ccm
.
Watu wanaoishabikia au kuiunda ccm yenyewe hawajui siasa.
Zaidi wanatumia matusi na kuchambua watu badala ya Sera.
Katika mfumo huu wa vyama vingi ni ccm pekee yenye nafasi finyu ya kuishi!!
Cdm inaenda kupotea maana mmenunuliwa