Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

Mapirobe

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
683
Reaction score
117
Wanainchi wa Monduli kwa style tofauti wamesema wao bado wanatambua chama mama,chama cha Mwalimu Nyerere na wapo tayari muda wowote kumuunga mkono mgombea yeyote anayetokana na chama cha mwalimu.
 
Attachments

  • IMG-20150928-WA0005.jpg
    IMG-20150928-WA0005.jpg
    14.1 KB · Views: 1,590
Hongereni sana.Msije mkawa mnajiliwaza tu
 
Wanainchi wa Monduli kwa style tofauti wamesema wao bado wanatambua chama mama,chama cha Mwalimu Nyerere na wapo tayari muda wowote kumuunga mkono mgombea yeyote anayetokana na chama cha mwalimu.

Walisema lini?.
 
Chana cha umaskini na ufukara kwa watanzania. Chama ambacho kimeuza nchi aliyoikomboa kwa gharama Kubwa Mwl nnyerere? Sio hii CCM ya leo hii ya leo ni CCM ya wauaji walaji na mafisadi
 
chana cha umaskini na ufukara kwa watanzania. Chama ambacho kimeuza nchi aliyoikomboa kwa gharama kubwa mwl nnyerere? Sio hii ccm ya leo hii ya leo ni ccm ya wauaji walaji na mafisadi

mkuu upo sahihi, naunga mkono hoja.
 
Wako sahihi ......ilikuwa n operation sangara leo ni operation nn???? cc hatuna ubongo wa mtindio kama panzi......
 
Yaliyowakuta Mbeya... Monduli ni zaidi ... CCM out ...

Yapi hayo? Unaongelea waliokwenda kumzomea Magufuli ila wakajikuta wanamalizia kwakumshangilia? Kaa mbali na kichwa cha Magufuli, yeye ni zaidi ya vichwa vya viongozi wenu kumi wa Ukawa akiwemo na Lowasa na Mbowe. He knows knows how to turn a challenge into an opportunity.
 
Wanajitambua hao wakazi

Unanifurahisha ,ukiwa upinzani hujitambui???Nasikia gas imepewa WACHINA BURE kwa miaka saba..............quote ya Mgombea urais ticket ya CCM ni kweli???

Kama ni kweli basi kujitambua kwao kuna mushkeli.
 
Ongea nao, wakazi wa Monduli wanajua wanachafanya, Magufuli hadi Monduli.
Mimi najua Magufuri amecherewa kuutembelea mkoa wa Arusha kwa sababu zinahitajika fedha nyingi za kuwatoa wahudhuriaji mikoa jirani ya Shinyanga, Mara, Simiyu n.k.
 
unajifariji sana kamnda lakini ukweli nakwambia mtauona siku ya terehe 25/10/2015 mune kinachotokea, ila tu nawaonea huruma sana maana wengine washasema kwamba watahama nchi, mie ninawambia kwamba Lowassa ndiye rais na mnaojifanya wehu subiri mtaona
 
Wanainchi wa Monduli kwa style tofauti wamesema wao bado wanatambua chama mama,chama cha Mwalimu Nyerere na wapo tayari muda wowote kumuunga mkono mgombea yeyote anayetokana na chama cha mwalimu.

Picha ya zamani lowassa alipokuwa ccm hiyo.
 
Back
Top Bottom