MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

Acha kupotosha,wanachokitaka ni kule democrasia ndani ya CCM haikufuatwa na badala yake wachache wakajipangia chaguo lao. CCM acha tu isepe.
 
Siasa za Tanzania zina ukabila ,you cannot ignore it
 
tatizo lako ni hili: huamini kinachitokea hivyo umeamua kumwaga yaliyopo kwenye ubongo wako hata kabla hujafikiri vyakutosha! Unamfananisha Lowasa na watia nia wengine!!! Bwana harusi na mpambe wapi na wapi! Tafakari!!!
 
Wee ndo npuuzi kabishaaa.thread yako ya hovyooo

Leta ya kwako mkuu ambayo si ovyo!! Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na huo ndiyo ukwel!! Hawa madiwan wameonyesha utoto, ukabila na ukanda!! Na kama kanda ya ziwa tukiamua kuwa na ukanda kila wakati raisi atatoka kwetu!!
 
Leta ya kwako mkuu ambayo si ovyo!! Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na huo ndiyo ukwel!! Hawa madiwan wameonyesha utoto, ukabila na ukanda!! Na kama kanda ya ziwa tukiamua kuwa na ukanda kila wakati raisi atatoka kwetu!!

Madiwani 9 Simiyu na 19 Monduli utoto na ukabila!!! Unajielewa?unaelewa maana ya ukabila na ukanda.????
 
Hata hao wanaokimbia chama malengo yao ni kuchaguliwa ndio maana wanahama na wakipokelewa tu wanatangaza nia, tujue hao hao ni mamuruki
 
Kwani wale madiwan 26 waliohamia chadema kule simiyu ni wa kaskazini? Acha ujinga pakashume wewe
 
kwa yaliyotendeka dodoma watanzania wote wapenda haki walipaswa kuihama kabisa ccm. wanaoendelea kubaki huko ni kwa ajili ya matumbo yao tu.


Na huko mwendako yakitokea hayo, nakwenda UDP?
 
Titizo lenu chadomo mnapenda siasa nyepesi,siasa za matukio,bila kujijua mnatembea kwenye kinvuli cha CCM. Kwa mtindo huo mtasubiri sana kuaminika kama watu makini nyinyi misukule ya mtei
 
Nadhani sasa wanawakilisha/kupaza sauti zao kwa matendo. Wameambiwa mchakato ulikuwa batili, mfumo wa uteunzi ulinajisiwa, by the way kuna baadhi za kauli Nazo zimechagiza hayo yanayoendelea kwa sasa! Demokrasia ndg yangu ni Kama shillingi, ina Pande mbili ndg yng! Muhimu Heshima tu uamuzi wao.
 
Kauli ya kusema RAIS hawezi toka KASKAZINI ndio inawahamisha..
 
Washafundishwa anayetoa hela nyingi ndo anakuwa rais. Uelewa wetu mdogo. Hii ni kuanzia viongozi mpaka mtu wa chini kabisa. Hata waliosoma wengine utawakuta humo humo. Kaazi kweli kweli

Wengine ubinafsi tu. Maslahi binafsi. Kila pembe ya nchi ikiwa hivi sasa hivi tutakuwa kama Rwanda na Burundi. Nawasikitikia wasio liona hili.
 

sio upuuzi tu ila we ni punguani kwani chama si hiari ya mtu,kama walimtaka lowasa mkamkata watatafuta opportunity nje ya ccm jinga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…