Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Mbona una lialia dogo kwani umejipangaje? CCM ina wenyewe, watu kama wewe ni wapuliza vuvuzela tu.

Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.

CCM taifa kubwa mpokeeni EL halafu ndo mtajua CCM taifa kubwa na Chadema mtashangaa. Majuto sikuzote Mjukuuu.
.... Mimi Mbona Siyo Wa Kaskazin Lakin Nimerudisha Kadi Jana. Nimechoka Maamzi Ya Ccm