Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 May 21, 2018 #321 Behaviourist said: ID mpya alikuwa ni mimi! Click to expand... Nikutumie vyura?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #322 sweetlee said: JF kiboko kabisa Click to expand... Zaidi ya kiboko mama
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 May 21, 2018 Thread starter #323 sweetlee said: JF mikono juu kuna UNAFIKI sana. Ukitaka kuishi JF kwa raha ujanja ni kupuuza kila kitu humu. Na kujifanya mjinga. Click to expand... Hata uwe mjinga watakutia vidole vya macho uonge tuu
sweetlee said: JF mikono juu kuna UNAFIKI sana. Ukitaka kuishi JF kwa raha ujanja ni kupuuza kila kitu humu. Na kujifanya mjinga. Click to expand... Hata uwe mjinga watakutia vidole vya macho uonge tuu
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #324 Shunie said: Zaidi ya kiboko mama Click to expand... Itakuwa tembo kabisa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #325 Mzigua90 said: Click to expand... Miss kanichekesha sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #326 Mzigua90 said: Usinikumbushe group za watu wa JF Click to expand... Nimekumbuka kitu mambo ya picha najua umekumbuka
Mzigua90 said: Usinikumbushe group za watu wa JF Click to expand... Nimekumbuka kitu mambo ya picha najua umekumbuka
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #327 sweetlee said: Uliwahi ungwa Click to expand... akikujibu uniite
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #328 Mzigua90 said: Hata uwe mjinga watakutia vidole vya macho uonge tuu Click to expand... Siongei mama macho ya kwenye Avatar au wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JF
Mzigua90 said: Hata uwe mjinga watakutia vidole vya macho uonge tuu Click to expand... Siongei mama macho ya kwenye Avatar au wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JF
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #329 Mzigua90 said: Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko ready Click to expand... Uzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!! Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!!
Mzigua90 said: Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko ready Click to expand... Uzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!! Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #330 SHAMMA said: Njoo kule acha ujinga sakayo Click to expand... Mmmh Wapi tena mkuu
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #331 Sakayo said: Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?! Click to expand... Hapo sasa. Kama kagombana naye ni yeye mimi hayanihusu.
Sakayo said: Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?! Click to expand... Hapo sasa. Kama kagombana naye ni yeye mimi hayanihusu.
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #333 Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Nitampa jibu moja tu atajuta kunijua.
Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Nitampa jibu moja tu atajuta kunijua.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 May 21, 2018 #334 Miss Natafuta said: Nikutumie vyura? Click to expand... Hiyo chura yako unayoniringishia kuna siku itatapeliwa tuuu!!
Miss Natafuta said: Nikutumie vyura? Click to expand... Hiyo chura yako unayoniringishia kuna siku itatapeliwa tuuu!!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #335 Mzigua90 said: Sasa si unakuta hana cha kugombana na wewe. Atakuuliza nini hapo. Click to expand... Kumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hilo
Mzigua90 said: Sasa si unakuta hana cha kugombana na wewe. Atakuuliza nini hapo. Click to expand... Kumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hilo
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #336 Shunie said: akikujibu uniite Click to expand... Mzigua come this way mama
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #337 Shunie said: Kama mm na wewe tukigombana ugomvi wetu asiingilie mtu tutapambana wenyewe Click to expand... Hahaha Na wewe unajuaga kupambana na Sakayo acha kabisaaa!! Ila hatuwezi kumuingiza mtu kabisaaa
Shunie said: Kama mm na wewe tukigombana ugomvi wetu asiingilie mtu tutapambana wenyewe Click to expand... Hahaha Na wewe unajuaga kupambana na Sakayo acha kabisaaa!! Ila hatuwezi kumuingiza mtu kabisaaa
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #338 Shunie said: Sina ninachopata my dear zaidi ya kuongezewa madhambi Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #339 Sakayo said: Kumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hilo Click to expand... Halafu maisha ni mafupi sana na ni matamu ukinuna nuna unazeeka haraka na kufwa
Sakayo said: Kumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hilo Click to expand... Halafu maisha ni mafupi sana na ni matamu ukinuna nuna unazeeka haraka na kufwa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 May 21, 2018 #340 Sakayo said: Uzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!! Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!! Click to expand... Nakazia
Sakayo said: Uzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!! Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!! Click to expand... Nakazia