Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 May 21, 2018 #301 Mzigua90 said: Huyo nae kawa kama kaa siku hizi Click to expand... Ujumbe wako ni mtamu sana eti dada. Lakini hayo unayoyakemea unaanza kunifanyia why lkn? Sijaona ukinifuata na kunionya ebo!
Mzigua90 said: Huyo nae kawa kama kaa siku hizi Click to expand... Ujumbe wako ni mtamu sana eti dada. Lakini hayo unayoyakemea unaanza kunifanyia why lkn? Sijaona ukinifuata na kunionya ebo!
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #302 Miss Natafuta said: Yaani shunie wanawake tunadanganyika kirahisi saaana.nilipata wachumba wa kutosha japo I'd zingine mpya. Click to expand...
Miss Natafuta said: Yaani shunie wanawake tunadanganyika kirahisi saaana.nilipata wachumba wa kutosha japo I'd zingine mpya. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #303 sweetlee said: Wakicheka wanapata nini sasa Click to expand... Basi tu wanajifurahisha na nafsi zao
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #304 Shunie said: Click to expand... Eeeh Shunie maana ukinitukana unapata nini sasa
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #305 Shunie said: Naanzaje sasa kutoweza mara paaap nakununia kila sehemu mpaka jf ukiniqoute sikujibi yaani kama sikuoni vile Click to expand... Nitakudharauuu
Shunie said: Naanzaje sasa kutoweza mara paaap nakununia kila sehemu mpaka jf ukiniqoute sikujibi yaani kama sikuoni vile Click to expand... Nitakudharauuu
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #306 Shunie said: Basi tu wanajifurahisha na nafsi zao Click to expand... JF kiboko kabisa
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #307 sweetlee said: Unasema Click to expand... Oooh. Ndo hivyo mama. Ndo maana mi naongeaga na wanawake wawili tu pembeni. Na naangalia kipi cha kuongea.
sweetlee said: Unasema Click to expand... Oooh. Ndo hivyo mama. Ndo maana mi naongeaga na wanawake wawili tu pembeni. Na naangalia kipi cha kuongea.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #308 Shunie said: Kwahiyo ukawa unawachora tu wachumba zako Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #309 Miss Natafuta said: Ahahaa ila kuna totoz humu wengine imebidi niwape namba kaka zangu flani Click to expand...
Miss Natafuta said: Ahahaa ila kuna totoz humu wengine imebidi niwape namba kaka zangu flani Click to expand...
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #310 Mzigua90 said: Oooh. Ndo hivyo mama. Ndo maana mi naongeaga na wanawake wawili tu pembeni. Na naangalia kipi cha kuongea. Click to expand... Salaleeee.
Mzigua90 said: Oooh. Ndo hivyo mama. Ndo maana mi naongeaga na wanawake wawili tu pembeni. Na naangalia kipi cha kuongea. Click to expand... Salaleeee.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #311 Inna said: Mmmmh niunge mwenza Click to expand... Usinikumbushe group za watu wa JF
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 May 21, 2018 #312 Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Hivi ngabu yupo wapi.maana kuongea na ngabu ni dhambi humu
Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Hivi ngabu yupo wapi.maana kuongea na ngabu ni dhambi humu
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #313 Mzigua90 said: Usinikumbushe group za watu wa JF Click to expand... Uliwahi ungwa
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 May 21, 2018 #314 Mzigua90 said: La 4b Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 21, 2018 #315 Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?!
Mzigua90 said: Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa Click to expand... Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #316 sweetlee said: Eeeh Shunie maana ukinitukana unapata nini sasa Click to expand... Sina ninachopata my dear zaidi ya kuongezewa madhambi
sweetlee said: Eeeh Shunie maana ukinitukana unapata nini sasa Click to expand... Sina ninachopata my dear zaidi ya kuongezewa madhambi
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 May 21, 2018 #317 Sakayo said: Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!! Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!! Click to expand... kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu. Hope you are doing well. Nimekumis mnooo
Sakayo said: Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!! Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!! Click to expand... kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu. Hope you are doing well. Nimekumis mnooo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 21, 2018 #318 Sakayo said: Nitakudharauuu Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,768 May 21, 2018 Thread starter #320 bigmind said: Ndiyo mpunguze kudanga, mnaomba pesa mno mpaka wachunwaji wanahisi uchungu. Click to expand... Wewe ushawahi kudangwa? Kwanza na sie tunaangalia wa kuwadanga sio mtu umuombe laki tu akutangaze kama vile umemuomba moyo wake
bigmind said: Ndiyo mpunguze kudanga, mnaomba pesa mno mpaka wachunwaji wanahisi uchungu. Click to expand... Wewe ushawahi kudangwa? Kwanza na sie tunaangalia wa kuwadanga sio mtu umuombe laki tu akutangaze kama vile umemuomba moyo wake