Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
AmeeenAhahaa ila wengine wachonganishi
Wanakuja pm miss huyo mtu picha hii namba yake hii anaishi huku mlipue nikawaambia no mi wala acha afurahi ameshinda.Mimi nitakuja kama yesu miaka mingi sana mbele wala sio jf au mtandaoni.ndo maana nikasamehe kujiepusha na dhambi
HahahaShikamoo Dada akee shunie namtafuta mtekaji aliyenitekea kaka angu amwachie kidogo na if nimuone mm
Yaani shunie wanawake tunadanganyika kirahisi saaana.nilipata wachumba wa kutosha japo I'd zingine mpya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mm
AsanteeeeeNimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.
Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.
Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.
Acha uchochezi mnabadili mwelekeo wa uziPole sana jamani!!
Ni kumpuuza tuu my dear!
Unasema [emoji15][emoji15][emoji15]Uko nyuma kweli. Nini vikundi kuna mpaka whatsapp group nasikia za kusakama members humu.
Ebu tuvute subira anaweza tokea hapa jamaniHahaha
Hata mie nina hamu nimjue tuu aki
AiseeeYaani wala sina shida nao.niliwakabidhi wenye nchi yao hata sijui ilikuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo ukawa unawachora tu wachumba zakoYaani shunie wanawake tunadanganyika kirahisi saaana.nilipata wachumba wa kutosha japo I'd zingine mpya.
Cheka na kila mtu Hii mitandao ina mengi sanaMwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.
Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
Haya nitakusubiri ramadhani ikiishaRamadhani hii nimefunga mkuu
Ahahaa ila kuna totoz humu wengine imebidi niwape namba kaka zangu flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo ukawa unawachora tu wachumba zako
Hapana lazima nimwambie ndugu yangu, sikumdhania vileYa moyoni yanatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NakaziaCheka na kila mtu Hii mitandao ina mengi sana
Poa poa bae wanguHaya nitakusubiri ramadhani ikiisha
Lini umekuwa mwanaume eti jamani nikumwagie masifa yakoHahaha
Hizo sifa hebu nipe na mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka sanaAhahaa ila kuna totoz humu wengine imebidi niwape namba kaka zangu flani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana lazima nimwambie ndugu yangu, sikumdhania vile