Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha
Asante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umeme
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini

Ahahaa ila wengine wachonganishi
Wanakuja pm miss huyo mtu picha hii namba yake hii anaishi huku mlipue nikawaambia no mi wala acha afurahi ameshinda.Mimi nitakuja kama yesu miaka mingi sana mbele wala sio jf au mtandaoni.ndo maana nikasamehe kujiepusha na dhambi