Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi kwenye YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio