McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa.
Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga Mpina kuwa mgombea Urais mwakilishi kutoka ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
“Leo nimechukua hatua ya pili ya kukitetea chama changu kwa kumuandikia barua Msajili wa vyama vya siasa nchini kama mlezi wa vyama hivi ili kuingilia kati uvunjifu wa wazi wa kanuni zetu za uendeshaji wa chama za mwaka 2015”. - ameandika Monalisa Ndala Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii
Uamzi wa Msajili, soma GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT