GE2025 Monalisa apinga kuvuliwa Uanachama ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa

Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama aliyesajiliwa mkoani Dar es Salaam

Soma: ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

Hata hivyo Monalisa ametoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutoka hadharani na kuikataa barua iliyotolea na uongozi wa chama hicho tawi la Mafifi huku akisisitiza kuchukua hatua

Monalisa anaendelea kusisitiza kuwa chama chake hakikufuata utaratibu katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama hicho Luhaga Joelson Mpina.
 
Monalisa ndala, mwanachama mtiifu wa ACT, inakuwaje wanachama wengine uvunjwaji wa katiba ya chama? Yaani hata Zitto haoni hilo. Maslahi yanaleta upofum
 
Huyo wangempiga kiharusi tu mkono aliotumia kuandika hiyo barua na mdomo uliokuwa unazungumza ulemae kabisa awe anamwagika miudenda tu muda wote
 
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa

Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama aliyesajiliwa mkoani Dar es Salaam

Soma: ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

Hata hivyo Monalisa ametoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutoka hadharani na kuikataa barua iliyotolea na uongozi wa chama hicho tawi la Mafifi huku akisisitiza kuchukua hatua

Monalisa anaendelea kusisitiza kuwa chama chake hakikufuata utaratibu katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama hicho Luhaga Joelson Mpina.
ACT sio chama cha siasa, ni mkusanyiko wa wahuni tu wakiongozwa na ZZK
 
ACT sio chama cha siasa, ni mkusanyiko wa wahuni tu wakiongezwa na ZZK

Chadema ndio chama cha siasa, ambacho mwenyekiti wake wa miaka 20 inasemekana alikuwa yupo kwenye payroll ya CCM
 
Hivi hakuna shuguli zingine za kufanya

Ova
 
Back
Top Bottom