MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,105
- 40,816
you go for chewing gumUnapopata fursa ya kukapa na mtoto kisu kwenye siti moja afu unataka kutupia mistari ila kila ukitathmini hali ya harufu yako ya kinywa jinsi kinavyonuka vibaya (unanuka mdomo)
Inakubidi unabaki kukaa kimya tu kama fisi anayekodolea macho mkono wakat binadamu akitembea akidhan utadondoka. Maana ukiongea utachafua atmosphere kwa mtoto kisu.
you go for chewing gum
For sure, you snooze you looseSasa mpaka ukanunue si unakuta demu ashachimba (kasema) kitambo kirefu, maana sisi sound zetu ni za timing ,Uko loose timing ume loose target , hence , out of targets.
Hatare kubwaPale unapojua sasa kila mtu mpaka mtoto anajua pamoja na mabit, mikwara, unoko, ujuaji, kiherehere ulicho nacho, imejulikana una cheti cha mwendokasi.
For sure, you snooze you loose
Ni pale unapojibana wakati wa kuja..mba , wakati wa kelele za mziki kisha Umeme ukakata ghafla wakat kamlio kako katikati tena mbele ya demu unayemtolea umate mate,Hatare kubwa
That shit is embarrassing, you get some nuthead screaming at you, kubwa zima umejambaNi pale unapojibana wakati wa kuja..mba , wakati wa kelele za mziki kisha Umeme ukakata ghafla wakat kamlio kako katikati tena mbele ya demu unayemtolea umate mate,
Afu kanatoka kale kasauti kembambaaaaa...ila kana mlio mkali sana na harufu zaid ya yai viza .
That shit is embarrassing, you get some nuthead screaming at you, kubwa zima umejamba