Akiwa Na magavana wawili muhimu, gavana wa Nairobi Na Mombasa, ako na maconnection na ma fans ngazi za chini hadi juu, Mombasani anapendwa Sana, yani ako Na loyal fans ambao hawata msaliti, achana Na Yale mapepe yanayopewa wale wengine, pindi watakapo ishiwa watasalitiwa Ata hutaamini, lakini alikiba hata apoteze sauti bado mafans wake watakua naye