Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wow this so nice.
Picha za mombasa nzuri ni nyingi hata sijui ni chague gani! Lakini ntaangusha iwezekanavyowanjala bana angusha hizo picha kwa wingi ili tusherehekee majiji za kwetu
nina safari ya huko, nipe maeneo ambayo sitakiwi kuyapita bila kufika. mimi mtu wa bata.
Bypass imefunguliwa sahi unaweza hepa Jam hapo karibu na Mazeras (Still under Construction though)nina safari ya huko, nipe maeneo ambayo sitakiwi kuyapita bila kufika. mimi mtu wa bata.