Molds za kutengeza urembo wa Gypsum (cornice)

Mulugwanza

Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
88
Reaction score
18
Habari wanajukwaaa; msaasmda kwenye tuta. hapa dar nitapata wapi vifaa yaani molds za kutengezea urembo wa gypsum?
 
nenda kariako nyuma ya gerezani, nenda pia kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi utapata vko vngi tu
 
Back
Top Bottom