du! kizota,mkapa,lunyamila,nemes kikosi kilikuwa bomba mbaya ila msiogope mwaka huu sio wa timu kubwa mfano man u,arsenal,barca,bayern munich,ac milan,inter milan.
badala yake ni zamu ya zilizo nyuma ya mabingwa man c,juventus,madrid,simba nk.
Umeona jezi ya Stephen Nemes ilivyokuwa inatangaza Club Billicanas?
Ila tulimtoa mkuku huyo Mbowe na Mengi wake, waliokuwa wanamsaidia Bandawe.
Nchunga naye aondoke.
Duuh! Namuona Sekilojo Chambua....na super coach sijui alijifuchia wapi, alale mahali pema peponi. He made Yanga a formidable team and he enjoyed alot Magomeni kwa macheni...you can imagine!!!