mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
yirabu sio jina geni kama ni mfuatiliaji wa International relations,uchambuzi wa siasa za ndani na nje ya nchi,usuluhishi wa migogoro na nk.
Department ya PSPA,huyu jamaa ameweka rekodi ama historia ya kukusanya kijiji kwenye course yake INTERNATIONAL RELATIONS I &II,lazima watu wengi wacarry or ku-supp,na ukirudi september conference supp lazima. Mohabe N robo atawaachia na nusu na robo lazima course yake usome tena mwaka unaofuataabu sio jin
Kwa waliosoma Social science , wanamuelewa,kutokana na utabe wake umevuma mpaka viunga vya nje "ndaki" mbali mbali udsm wanamsoma huyu mwamaba/mbabe wa vita/Realist/Mmbongo/ nk
Kuna siku ndio tumeingia mwaka wa pili prof Mukandala wakati anafundisha akasema mshawahi kumsikia prof.Nyirabu,akamuelezea sana msome kuna kipindi watu walikuja kumlalamikia wanafeli sana yeye alijibu tu; "wanafeli kwa sababu hawasomi,wangekuwa wanasoma wangefaulu".
Linapofika suala la kusoma huyu jamaa hana ujamaa wala urafiki,ni mtu mbabe sana anaamini kwenye kile anachoamini!
[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] mliopita PSPA UDSM,mnamuelezeaje huyu Realist aka mmarekani mweusi(degree,masterz,PhD kapiga nje) ili vijana waweze kwenda nae sawa??