Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,176 Jan 6, 2015 #41 afrodenzi said: Hii siyo sahihi jamani huyu si mtoto kabisa , hata matiti hana.... Click to expand... Masahihisho, huyo mtoto ni binti wa Mfalme Mswati; ila huyo mama ndiye mke wa kwanza wa Mfalme Mswati (mke wa balehe). Sasa mulinganishe na matoleo mapya anayochukua huyu mfalme ushangae!!
afrodenzi said: Hii siyo sahihi jamani huyu si mtoto kabisa , hata matiti hana.... Click to expand... Masahihisho, huyo mtoto ni binti wa Mfalme Mswati; ila huyo mama ndiye mke wa kwanza wa Mfalme Mswati (mke wa balehe). Sasa mulinganishe na matoleo mapya anayochukua huyu mfalme ushangae!!
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,479 Jan 6, 2015 #42 Dah! Mswati ana "overuse" naniii. Tezi dume linamnyemelea kwa kasi. Aombe ushauri magogoni haraka.