Moja wa Wasanii waliotikisa Bongo

Moja wa Wasanii waliotikisa Bongo

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,647
Reaction score
2,238
7372026 (1).jpg

Anaitwa Lucas Mkenda a.k.a. Mr. Nice. Mchango wake katika tasnia ya muziki nchini hautasahaulika.
 
Hivi yuko wapi huyo mzee wa Kikulacho ki nguoni mwako
 
Hivi yuko wapi huyo mzee wa Kikulacho ki nguoni mwako

Mwisho wa wasanii wa Bongo ni 1. Sembe, 2. Pombe kupita kiasi, 3. Wanawake, 4. Kutokujitambua.
 
kwa kipi cha maana alichoimba? Ungetaja watu kama Mr. Two, Profesa Jay, Afande Sele n the likes ningekuunga mkono
 
sidhani ka wenye akili timamu wanaweza kumkumbuka huyo jamaa katika music! kwa nyimbo ipi na kwa lipi alilofanya? ebu ntajia wasinii(andagraund) wa 3 alowatoa?
 
Ni msanii wa kwanza kushika mkwanja mkubwa
 
Kuna nyimbo baadhi aliimba jamaa zilikuwa zina mafundisho.. mfano: kikulacho
Mnaomponda nahisi enzi zake ndo mlikuwa wa kwanza kuruka ruka na kununua video cassette zake...
 
kwa kipi cha maana alichoimba? Ungetaja watu kama Mr. Two, Profesa Jay, Afande Sele n the likes ningekuunga mkono

kwa upande wa watoto alitoa mchango mkubwa kwa kuimba nyimbo zinazoendana nao na hii ndio huitwa mtindo kitu kinacho mpambanua msanii mmoja na mwingine
 
kwa kipi cha maana alichoimba? Ungetaja watu kama Mr. Two, Profesa Jay, Afande Sele n the likes ningekuunga mkono
Kwahiyo bob wasanii wazuri ni wale wanaokufurahisha wew tu.??
 
Watu washamsahau huyo, celebrity is a cruel mistress. One day uko juu next day umepotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom