100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,736
- 30,481
Wazee wa kazi wakiwa na vilemba na kanzu lakini disco lake si la kitoto, begani ana rpg na mkononi ana ak47 lakini mkono wanaotembeza imebidi serikali isalimu amri, naomba nitume salamu kwa wenzangu mnaoanzisha nyuzi humu za kushindanisha Tanzania vs Kenya kwenye masuala ya kijeshi na kutuma humu picha za askari wamevaa full gear, mnatishiana kuvaa full gear... heheheee
ni kwamba vita sio kuvaa full gear wala kuwa na m4 carbine mkononi na vita sio lele mama, hao waliovaa full gear na walikuwa wakifanya joint operations na USA wamekimbia wakawaachia wanaume wamevaa misuli na vilemba watawale nchi, hakuna cha bodyguard wa raisi wala special force, wala police, wote wamekula kona, wengine wamevua gwanda kama sio wao.
Raisi kala kona baada ya kuona disco limenoga huku mshehereshaji mkuu akiwa mTaliban mwenyewe...
Jamaa wanatisha kama zombie, wameingia kwenye magereza wameachia wafungwa wote...
Wananchi wanaona Afghan imekuwa jehanam, wengine walikuwa wanahama nchi, maelfu ya wananchi Kabul Airport walikuwa wanataka kukwea ndege za kimarekani kwa nguvu.
Unaambiwa mitaa ya Kabul njia ilikuwa ni moja tu, kukimbilia Airport, wananchi wengi walikuwa wanakimbilia Airport... (watu wa 5 wamefariki kwenye purukushani huko Airport).
Bei ya burqas zimepanda mno , baada tu ya Taliban kutangaza ushindi (Burqa ni hizi nguo ndefu wanawake wa kiislamu huvaa)... wauza maburqa kwao sherehe... hehehee
ni mwendo wa ninja tu... ukutwe hujavaa burqa utaimba haleluya.
Ndugu zangu vita tuisikie tu... tuombe usiku na mchana... imagine mtu anakwenda Airport hana begi, hana nguo za ziada, hana passport wala pesa ya akiba na anataka kuhama nchi ... haukumbuki ndugu, mpenzi wala marafiki kikubwa kunusuru roho yako.
Hongera Taliban kwa kufanikisha kuiongoza Afghanistan, kwa miaka 20 wakipigana finally wamefikia lengo...
Nimewapa hongera kwa sababu serikali imeridhia kuwakabidhi nchi sasa sie ni nani tupinge... kama uncle Sam amekubali tufyate kuwaita Taliban magaidi.
Kama ugaidi inabidi Ku Klax Klan iliyokuwa inachoma watu weusi kama ndafu na kuwaua pasipo hatia iwekwe kwenye list ya makundi ya kigaidi...
Kama KKK ina exist basi Taliban sio magaidi bali wanaharakati.
cha ajabu kwa sababu ni wazungu mpaka leo hii KKK ina exist na wanasema si terror group bali ni extremist domestic group, wanakuambia KKK kuna 1st Klan, 2nd Klan na sasa ni 3rd Klan... na KKK ipo mpaka sasa... hii 3rd Klan ni hapo 1950 up to this time.
Hawa ni makomandoo wa Afghan... sijajua walipo mpaka muda huu... naamini habari kuhusu hawa Taliban zinazotolewa na media kubwa mara nyingi huwa zimepikwa... hawa Taliban na Navy Seal mafunzo yao yanakaribiana utofauti utakuwa kwenye vifaa tu...
Komandoo kama hawa walioiva na full gear kukimbia battle mtu ana AK47 na kanzu sio poa....