Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,447
- 34,001
Nelson...Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????
Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!
Wala siteseki, ni wajibu na uzalendo, muungano wetu adhimu ni tunu za taifa, tutaulinda kwa gharama yoyote dhidi ya mahasidi wa muungano!.Pascal Mayalla Kwanini unateseka? Kwanini ufikie hatua ulinde kwa gharama yoyote?
Hivi sasa, wewe ni raia wa tabaka lipi?Kwahiyo babu zetu walikua hawanyanyasiki na waarabu na vizazi vyao vya machotara wsliowafanya wabantu kua raia wa tabaka la chini???Ni tamaa za kisiasa tu sababu sultan na hizbu walikua wema kwa wabantu kaka?????Tujuze kidogo mema ya sultani kaka???
Hivi sasa, wewe ni raia wa tabaka lipi?
Tabaka la kwanza Faiza Nafaidika na matunda ya mapinduzi mdogo wanguHivi sasa, wewe ni raia wa tabaka lipi?
Mbona mie nnampata kwa whatsapp yake ile ile ya zamani aliyoitangaza JF 0625249606.Samahani Hii quote haihusiani na mada,
Je una mawasiliano na Bi Zainab? Nina shida nae kweli kweli.
Msaada wako tafadhali.
Upo sahii kaka ni wajibu wetu kama vijana na viongozi tujao wa taifa hili kulinda na kuenzi mapinduzi matukufu ya zanzbar na kuulinda muungano wetu dhidi ya mahasidi wa muunganoWala siteseki, ni wajibu na uzalendo, muungano wetu adhimu ni tunu za taifa, tutaulinda kwa gharama yoyote dhidi ya mahasidi wa muungano!.
P
Hongera sana. Kumbe kuna matabaka miaka zaidi ya 50 baada ya mapinduzi, nilikua sifahamu. Ahsante kwa kutujuzaTabaka la kwanza Faiza Nafaidika na matunda ya mapinduzi mdogo wangu
Nani anaelitambuwa hilo katika serikali zote mbili?Wala siteseki, ni wajibu na uzalendo, muungano wetu adhimu ni tunu za taifa, tutaulinda kwa gharama yoyote dhidi ya mahasidi wa muungano!.
P
Kuna kitu kwenye siasa kinaitwa mubashir fayuz kwa kiarabu cha wakurdi.Ukielewa hicho utaelewa ulichoandika kunijibu mdogo wangu.Hongera sana. Kumbe kuna matabaka miaka zaidi ya 50 baada ya mapinduzi, nilikua sifahamu. Ahsante kwa kutujuza
AlhamduliLlah vizazi vya wenye asili za KiOman ndivyo vinavyotawala sasa Zanzibar na Tanganyika. Ni vyema kuwa hawajakubagua.
Watawala ni wa daraja lipi?
Hoja imekuingia vilivyo mpaka umeshindwa kuijibu.Kuna kitu kwenye siasa kinaitwa mubashir fayuz kwa kiarabu cha wakurdi.Ukielewa hicho utaelewa ulichoandika kunijibu mdogo wangu.
Licha ya visiwani, hivi Wabantu walifika lini pwani ya bahari ya hindi?Upo sahii lakini tatizo la baadhi ya watu hasa waarabu na machotara wenye nasaba za kiarabu na wafuasi wa hizbu na maswaiba wao wa kibantu wanapondea upande mmoja tu SMZ hasa kwenye vitabu vyao!!!Mimi siamini upande wowote kishabiki ila katika hili dhulma ya walowezi wa kiarabu na wakoloni dhidi ya wabantu wa zanzbar ipo wazi toka karne na karne
Upo sahihi 100%Tatizo lako una uelewa mdogo sana wa historia ya Zanzibar. Ila unateswa na chuki ulizopandikizwa.
Ujanielewa mdogo wangu Faiza ndio maana unatumia maneno ya kitoto kama"Unajibahashuwa tu""tafuta kwanza nilichokuambia mdogo wangu.Hoja imekuingia vilivyo mpaka umeshindwa kuijibu.
Iliyobaki unajibahashuwa tu.
Mdogo wangu nina wasiwasi na uelewa wako wa mambo na ndio maana kwenye mada hii ya mzee wangu na jirani yangu Said mohamed waga najadiliana nae zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.Lakini sikupingi hoja zako mdogo wangu,upo sahii kabisa kwa umri wako na uwelewa wako wa historia ya wabantu.Licha ya visiwani, hivi Wabantu walifika lini pwani ya bahari ya hindi?
Ukishapata jibu ya hilo pia ujibu, walikuta kuna wenyeji? Wepi?
Al Anisa Maalim Mohamed Said , wewe ni mmoja wa watu muhimu sana this forum iliyobahatika kuwa nao, natamani kila kisa cha mtu yeyote ulichonacho, kianzishie thread stand alone inayojitegemea chini ya Sub Heading ya "Simulizi za Mohamed Said"Wakati ule nikiwa mtoto wa miaka 12 haikunipitikia kama itafika siku nitakuwa na Mzee Aboud Jumbe nyumbani kwake mimi na wenzangu tunaiangalia picha hii aliyotutolea Mzee Jumbe picha ambayo alitaka iwe katika kitabu ‘’The Partnership,’’ alichokuwa ameandika kuhusu Muungano na matatizo yake.
Mimi na wenzangu tulikuwa wahariri na wachapaji wa kitabu hiki.
Huu ulikuwa mwaka wa 1994.
Kaka mimi kama mjasiriamali naona hii kama fursa kupitia kwa jirani yangu na rafiki yangu na kakangu mzee saidi mohamed.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi,kisiasa,kielimu,kiimani na kimtazamo nitamtafuta personal nimshauri kuhusu hili.Upo sahii kaka nitajitahidi kumfikishia ujumbe personal.Al Anisa Maalim Mohamed Said , wewe ni mmoja wa watu muhimu sana this forum iliyobahatika kuwa nao, natamani kila kisa cha mtu yeyote ulichonacho, kianzishie thread stand alone inayojitegemea chini ya Sub Heading ya "Simulizi za Mohamed Said"
Ili kuyahifadhi masimulizi hayo ambayo yatafuatiwa na TV series zenye jina hilo hilo kwenye TV zetu, lengo ni kuuvuna na kuuhifadhi utajiri mkubwa wa historia ulio nao ndani ya kichwa chako na kuuhifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kwa vile wewe umejaaliwa uwezo wa kuandika, then serialize hizo makala zako.
P
Wenyewe hawapendi!. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyamasio dhambi kusema mabaya ya walowezi wa kiarabu unguja na pemba kaka
Tatizo kuna baadhi ya watu hawapendi kuusikia ukweli huu
Huyu Mzee Mohamed Said, ni hazina ambayo inatakiwa ivunwe ihifadhiwe!.Kaka mimi kama mjasiriamali naona hii kama fursa kupitia kwa jirani yangu na rafiki yangu na kakangu mzee saidi mohamed.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi,kisiasa,kielimu,kiimani na kimtazamo nitamtafuta personal nimshauri kuhusu hili.Upo sahii kaka nitajitahidi kumfikishia ujumbe personal.