Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Jul 22, 2022 #1 Chukua hiyo kwanza
Kitambi chakufutia tachi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 1,081 Reaction score 2,604 Jul 22, 2022 #2 Afadhali sababu binafsi Onyango huwa sikumbali sana.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jul 22, 2022 #3 Ahsanteeeeeeeeeeh!!!! Bado okwaaa na manzoki.
Mr the dragon JF-Expert Member Joined Apr 14, 2017 Posts 1,937 Reaction score 3,744 Jul 22, 2022 #4 Utopolo nnya inagonga pichu
WAZO2010 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 1,616 Reaction score 3,799 Jul 22, 2022 #5 Free products
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,744 Reaction score 118,696 Jul 22, 2022 #6 Shark said: Chukua hiyo kwanzaView attachment 2299761 Click to expand... Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele.
Shark said: Chukua hiyo kwanzaView attachment 2299761 Click to expand... Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,487 Reaction score 68,267 Jul 22, 2022 #7 Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... Mayele yupi? au yule mfugaji [n'gombe] anayemuogopa Inonga?
Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... Mayele yupi? au yule mfugaji [n'gombe] anayemuogopa Inonga?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,967 Reaction score 75,037 Jul 22, 2022 #8 Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... Mkiambiwa waropokaji mnasema mnaonewa,mtu hajacheza hata mechi ya majaribio unaanza utabiri wa kichawi
Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... Mkiambiwa waropokaji mnasema mnaonewa,mtu hajacheza hata mechi ya majaribio unaanza utabiri wa kichawi
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,260 Jul 22, 2022 #9 simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake! Binafsi nashauri tukutane uwanjani
simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake! Binafsi nashauri tukutane uwanjani
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,618 Reaction score 39,978 Jul 22, 2022 #10 Shark said: Chukua hiyo kwanzaView attachment 2299761 Click to expand... Hivi kweli anaitwa Quatara?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,967 Reaction score 75,037 Jul 22, 2022 #11 mtwa mkulu said: simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake! Binafsi nashauri tukutane uwanjani Click to expand... Kumbe unalijua hilo hiki kiherehere chako cha nini na ligi haijaanza? Huyu ameripoti kuwa Simba imetangaza usajili mpya leo mchana tatizo nini nyie manyani?
mtwa mkulu said: simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake! Binafsi nashauri tukutane uwanjani Click to expand... Kumbe unalijua hilo hiki kiherehere chako cha nini na ligi haijaanza? Huyu ameripoti kuwa Simba imetangaza usajili mpya leo mchana tatizo nini nyie manyani?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jul 22, 2022 #12 Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... mayele ambaye hata Mpole ameshindwa kubattle nae ktk mbio za ufungaji, ndo amuwezee huyu deffer?? Wee maumivu badooo, kuwa mpoleeeee. Mbna utafurahishwaaa, Byuti byuti.
Tate Mkuu said: Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!! Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele. Click to expand... mayele ambaye hata Mpole ameshindwa kubattle nae ktk mbio za ufungaji, ndo amuwezee huyu deffer?? Wee maumivu badooo, kuwa mpoleeeee. Mbna utafurahishwaaa, Byuti byuti.
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,477 Reaction score 11,167 Jul 22, 2022 #13 Hongera simba ila wasiwasi wangu bado upo pale DM nahisi tunahitaji mtu wa nguvu sana.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,139 Jul 22, 2022 #14 Hapa simba tumepigwa sio siri
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Jul 22, 2022 #15 Kitu na box...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,967 Reaction score 75,037 Jul 22, 2022 #16 Its Pancho said: Hapa simba tumepigwa sio siri Click to expand... Umepigwa wewe kwa zeruzeru kupigwa pini
Its Pancho said: Hapa simba tumepigwa sio siri Click to expand... Umepigwa wewe kwa zeruzeru kupigwa pini
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,828 Reaction score 5,968 Jul 22, 2022 #17 Karbu unyamani
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,636 Reaction score 43,930 Jul 22, 2022 #18 Hivi huyu anamzidi yule kipa mpya wa Azam tulieambiwa kuwa anaweza kudaka hata akiwa amefunikwa Gunia?
Hivi huyu anamzidi yule kipa mpya wa Azam tulieambiwa kuwa anaweza kudaka hata akiwa amefunikwa Gunia?
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,368 Jul 22, 2022 #19 Frank Wanjiru said: Hivi huyu anamzidi yule kipa mpya wa Azam tulieambiwa kuwa anaweza kudaka hata akiwa amefunikwa Gunia? Click to expand...
Frank Wanjiru said: Hivi huyu anamzidi yule kipa mpya wa Azam tulieambiwa kuwa anaweza kudaka hata akiwa amefunikwa Gunia? Click to expand...
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,547 Reaction score 4,013 Jul 22, 2022 #20 Its Pancho said: Hapa simba tumepigwa sio siri Click to expand... Kama vile nakuona jinsi kinyesi kinavyogonga pichu! Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Its Pancho said: Hapa simba tumepigwa sio siri Click to expand... Kama vile nakuona jinsi kinyesi kinavyogonga pichu! Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app