TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Ni taarifa za kusikitisha kua yule mwalimu wa Physics mchikichini maarufu kama 'Muddy Physics' amefariki dunia jioni hii

Apumzike kwa amani tutamkumbuka kwa ufundishaji wake mzuri na ucheshi wake.

Inasemekana amefariki ghafla.

IMG-20201111-WA0022.jpeg
 
Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.

Dah, umenikumbusha mbali sana, hiyo mashine(Busanji) ilinifundisha 2010. Ni miongoni mwa watu wachache wanaoielewa ADV physics...

aendelee kupumzika kwa amani aisee.
 
R.i.P Commissioner
Since day one Mchikichini up to Msimbazi Center Ilala Boma

Yah Man, Bwana mdogo anasema... #Problem nu1...

Daima sana, Wadau na member wote tutakukumbuka #TeamCalculating Device, #KingKong #DJ manywele #Dr. #Bench#1, #2 #3 Backbenchers, #Team Mlangoni nk

We mwana hope tulisoma 2014 wote nahic kipindi cha kina #shekidele jamaa wa tanga tech
#ungachemistry #kingkong mashuzi RIP
 
R.i.P Commissioner
Since day one Mchikichini up to Msimbazi Center Ilala Boma

Yah Man, Bwana mdogo anasema... #Problem nu1.

Daima sana, Wadau na member wote tutakukumbuka #TeamCalculating Device, #KingKong #DJ manywele #Dr. #Bench#1, #2 #3 Backbenchers, #Team Mlangoni nk
"yah man nyinyi tulikuwa tunazungumzia habari gani"

Dah kweli binadamu tunapita, Mwamba umeanguka mchikichini inauma sana aisee.
 
Duuu! Aisee apumzike kwa amani. Kila nikitazama jinsi nilivyopitapita kwenye safari yangu ya kielimu siwezi kusahau mahali panapoitwa mchikichini na pia siwezi kumsahau huyu jamaa alinisaidia sana kwenye physics.
 
Back
Top Bottom