RIP sikujua kwamba mpaka miaka hii alikuwa anafundisha mm nilisoma kwake miaka ya 1998 mpaka 2000 pamoja na kwa Babangida.Sijui Alisoma wapi yule ile physicsYn Muddy ni hatari sana, naweza sema nchi hii imepoteza expert muhimu sana, vijana wetu wa olevel na Alevel bado walikuwa wanamhitaji mno ila ndo kazi ya Mola.
Muddy alikuwa anafundisha Physics inaonekana kama kiswahili kwa urahisi wake ni hatari sana Muddy kwa kweli amefaulisha sn na ametengeneza wataalamu wengi mno, naimani Mwenyezi Mungu atamlipa kadri ya wema wake hapa duniani, makosa madogo madogo yapo lkn ndivyo binadamu tulivyo hatukosi makosa, namuombea kwa mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi commissioner, RIP.
Nchi za kiafrica watu muhimu huwa hawajulikani labda wawe wanasiasa, lkn serikali ingewatumia Hawa watu mfano Muddy (RIP), Hidden, Mbuga wafundishe walimu wetu Hawa wa o level and Alevel watoto wangefaidika sn.Swali sahihi ni kwanini serikali wameshindwa kumjua
Nimesikitika sana, alinitangulia miaka miwili Udsm lakini sifa zake zilijaa na kuenea chuo kizima. Wajinha na wapimbavu wanabaki, wenye uwezo wanaondoka dah! Let his soul rest in peaceKwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini
Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo
Hivi mtegetwa na Sir White Man Complex nani mkali? Mtegetwa mtu mbaya wewe amenitolea B ya geography olevalwww.jamiiforums.com
View attachment 1624762
Kumbe na wewe ulisoma zamani kidogo[emoji85]Nimesikitika sana, alinitangulia miaka miwili Udsm lakini sifa zake zilijaa na kuenea chuo kizima. Wajinha na wapimbavu wanabaki, wenye uwezo wanaondoka dah! Let his soul rest in peace
Haha mi mhenga Anne😊Kumbe na wewe ulisoma zamani kidogo[emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha mi mhenga Anne[emoji4]
Alafu dogo tu😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejisikia kucheka
Mimi siikubali wallah [emoji23][emoji1787][emoji1787]yaani wewe usome miaka ya 2010 kushuka,a wapi [emoji85][emoji2094]Alafu dogo tu[emoji4]
Wapi huyu mwamba nilisoma bure aiseeee god bless himWapi docta wenziii
R. I. P [emoji120] huyu mwamba aliifanya physics to look so easy,Thank à lot nilijua kwa mara ya kwanza mchikichini 2000 form 1 kabla hajaenda USA, then nikasoma advance kwake baadhi ya topic bure kabisa
Chaki
Urithii jaman mtupee mrejeshoooKwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini
Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo
Hivi mtegetwa na Sir White Man Complex nani mkali? Mtegetwa mtu mbaya wewe amenitolea B ya geography olevalwww.jamiiforums.com
View attachment 1624762
'We shall proceed tomorrow'"Ladies and gentlemen, let's end up here at this particular juncture for today"
Innalillah wa innaillah rrajiun.
Dah, aisee.Dah, umenikumbusha mbali sana, hiyo mashine(Busanji) ilinifundisha 2010. Ni miongoni mwa watu wachache wanaoielewa ADV physics...
aendelee kupumzika kwa amani aisee.