Mohammed Entreprises vs BOT vs Foreign... kisa? Dili la BILIONI 180

Acheni wivu wa kike mwacheni mwenzenu ale kwani hii nchi ina mwenyewe,si ni sawa na jalala tu kila mbwa anakula hapa
 
Huyu anajitapa kujenga mashule kule singida na kucheza ngoma za kinyiramba kumbe ni mchafu anataka kuleta EPA nyingine wakati hata ile ya kwanza hatujasahau.

Ana bahati hapo ni Tanzania ingekuwa nchi nyingine ambazo maslahi ya nchi yako mbele ungefanywa mpango wa kufuatilia hata hizo alizo nazo sasa na kumfilisi tu. Wahindi wanakaa kuangalia mianya ya kunyonya tu ili warudi kwao matajiri wakati sisi tunakufa njaa hapa na wanafanya hivyo bila ya huruma yoyote. Huyo mwanasheria naye aliyesimamia hiyo kesi anahitaji kuchunguzwa maana alifanya maamuzi kwa shinikizo la fedha.

Ni kweli mkuu. Huyu MO ni mchafu hasa. Sijuwi kama hata analipa kodi kwenye biashara zake. Kama unakumbuka pia alishawahi kuleta maelfu ya tani za mchele usiostahili kwa matumizi ya binadamu, kesi ikafunguliwa dhidi yake cha ajabu mashahidi wote wakiwemo wataalamu wa vipimo kule kwa mkemia mkuu walipukutika kama mabua na kesi ikafa. Wahindi ndo wezi wakubwa wa mali zetu maana hata EPA wahindi walichota sana, ununuzi wa RADAR aliyehusika ni mhindi etc
 
Back
Top Bottom