Mohamed Zimbwe ni mwananchi

Huu usajili kama ni kweli basi wamekurupuka. Vijana wapo kibao mnakomaa na wazee.
 
Kwa sasa ni mchezaji gani mzawa anamfikia Shabalala kama beki wa kushoto?
Sasa hiyo ndio sababu? Hata kwenye darasa la mbumbumbu lazima kutakuwa na number one ila kwa mambumbu. Shabalala wa kawaida,age imeenda hatufai ila kama wameamua wao viongozi sawa hamna jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…