ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,653
Basi la Mohamed Trans limehusika kwenye ajali na gari dogo lililokuwa limebeba askari polisi na kuwauwa watu watano ambao wote ni askari polisi.
Askari hao walikuwa wanatoka kwenye sherehe yao muda wa saa 11 asubuhi ya leo eneo la mtumba nje kidogo ya manisapaa ya Dodoma.
Chanzo cha ajali bado hakijajulikana.
Mtaendelea kujulishwa zaidi.
Askari hao walikuwa wanatoka kwenye sherehe yao muda wa saa 11 asubuhi ya leo eneo la mtumba nje kidogo ya manisapaa ya Dodoma.
Chanzo cha ajali bado hakijajulikana.
Mtaendelea kujulishwa zaidi.