Hakuna timu ya Tanzania itakayofika robo fainali msimu huu.sio Yanga, Simba Azam wala Singida..
Kaa ukijua hilo.
Pili upepo anaopitia Simba ni kawaida ya soka.....labda kama hutaki kuwa exposed na yanayoendelea sasa kwenye vilabu vingine Africa na duniani...
Mamelodi
SIMBA
Tp Mazembe
Raja
Asec
Zamalek
Timu zote za Algeria
Hizo timu zote zina mapito magumu...