Mohamed Said: MEDALI YA ABDULWAHID SYKES: MWENGE WA UHURU 1961 - 2011

Jamii Forums thread za huyu mwanazuoni mnaziweka mahali si pake hizi ziwekwe katika Forums za dini. Hapa hatuletewi historia bali tunaambiwa masuala ya elimu ahera.

Sijaona hata thread moja ya huyu nguli inayowahusu watu ambao hawakuwa na dini ama wakristu hata mabaniani anaowasemea mazuri japo wamesahaulika pia na historia ya nchi yetu.

Sijajua kama kweli research anayoifanya ni ya kutaka kujua tulipataje uhuru ama kukuza dhana ya tunaonewa. Ijulikane yeye kasomeshwa katika wakati na kipindi cha huyo anayemnanga.
Ndiyo maana ninaona JF inamkosea haki kuacha thread za huyu nguli katika masuala ya historia za waislamu kuwekwa katika forum ya historia.
 
Utaitaja vipi Historia ya Tanganyika / Tanzania bila kuwataja Waislam? Au huelewi kuwa wao ndio walioanzisha harakati za Uhuru?

Naona unasumbuka sana unapoona Waislam wakitajwa katika historia ya ukweli. Pole sana, ukweli utabaki kuwa ukweli daima.
 
Utaitaja vipi Historia ya Tanganyika / Tanzania bila kuwataja Waislam? Au huelewi kuwa wao ndio walioanzisha harakati za Uhuru?

Naona unasumbuka sana unapoona Waislam wakitajwa katika historia ya ukweli. Pole sana, ukweli utabaki kuwa ukweli daima.
Mkuu habari za siku?
 
Kuna mtu hapa JF kaniuliza kwa nini kila ninapoandika historia ya TANU lazima nimtaje Abdul Sykes...jibu nilimpa lakini nampa na nyongeza hapo juu...
Nimesoma kitabu chako "maisha na wakati wa Abdulwahid Sykes" mara mbili na ninakupongeza mno kwa muda uliotumia kusoma,kutafiti na kuandika kitabu.Kwa kweli bila kusoma,kusafiri,kuchambua huwezi kuandika kitabu kama kile.
Kuna hoja ya udini inaibuliwa mara nyingi lakini haya ni mawazo ya wasomaji yasikuyumbishe.
Natamani ningeweza kusoam na kuandika kama wewe.
 
Mignon ahsante sana. Mie huwauliza wanaokimbilia hoja ya udini kuwa kwani wale wanajopo wa Chuo Cha Kivukoni walipomwondoa Abdulwahid Sykes na wazalendo wengine katika historia ya TANU walifanya hivyo kwa kuogopa kuwa wakimtaja historia itakuwa ya udini?
 
Najua ilivyo ngum.Nilifika Mikindani nami ni mpenzi wa mambo ya zamani,nahisi yananiongezea imani.Kwa mfano unakuta nyumba ambayo ilikuwa ya tajiri wa kununua binadamu (sio ng'ombe)lakini leo hayupo!!Mikindani nilionyeshwa gofu ambalo lilikuwa nyumba na ndipo Mwalimu Nyerere alifikia wakati akitafuta Uhuru.Mwenye nyumba hakuogopa utawala wa Mkoloni kumkarimu mgeni huyu.Leo ukimtaja mwenyeji huyo kuwa alikuwa Mwislamu,tayari watu washalipuka.
Umetimiza wajibu wako na wala usijutie!!
 
Utaitaja vipi Historia ya Tanganyika / Tanzania bila kuwataja Waislam? Au huelewi kuwa wao ndio walioanzisha harakati za Uhuru?

Naona unasumbuka sana unapoona Waislam wakitajwa katika historia ya ukweli. Pole sana, ukweli utabaki kuwa ukweli daima.
Well said Mkuu coz kuna watu ukitaja Uislam katika harakati za kupigania uhuru huwa wanachukia sana while Waislam ndo nguzo kubwa mpaka uhuru unapatikana. Litakuwa hivyo na litaendelea kuwa hivyo hata kama litapuuzwa.
 
Mkuu Mbase, maadam Maalim Mohammed Said ni Muislamu, ana haki zote kusimulia mchango wa babu zake katika harakati za uhuru.

Maadam wahusika wa harakati za uhuru, wako Wakristo na Waislamu, hakuna ubaya wowote, mfia dini mmoja wa Kiislamu kusimulia mchango wa Waislamu katika Uhuru wa Tanganyika. Na nyinyi Wakristo si mpo mnaojua historia, hakuna ubaya mkijitokeza na kueleza the role of Christians, katika harakati za uhuru.

Maalim Mohamed Said, endelea.

P.
 
Hahahaaa yan Wewe ndo wale Ukiskia waislam Unaumiia Lkn Tafuta hotuba ya Nyerere alipohadthia Aliepelekwa Bagamoyo na Akafunga mpk jioni... Hivi unajua kwann alifunga kwann Alisomewa Dua?.. Kwasbb Waislamu walilichukua jambo la Uhuru kama lao Wkaat huo wakristo walikuwa pamoja na ukoloni... Huwez kuwatoa waislam ktk harakat kwasbb ndo walkuwa Front
 
Walianzishaje, hebu tuongezee ufahamu kidogo!!

 
Mimi siyo waislamu tu wite wafia dini Nina matatizo nao. Kama umenielewa sijakosoa alichokiandika Bali ni jamvi la siasa na dini wapi na wapi? Mimi ni mtu nisiyeamini dini kwangu dini ni utapeli wa wajanja kuwafanya wengine kuwa watumwa kwa kuwaaminisha uongo. Haiji akilini mwangu Kama kweli waliotuletea dini wanaamini Mungu yupo. Historian inatuonyesha tofauti.

Lakini sababu dini yangu kuu ni demokrasia hivyo una uhuru wa kuamini hata huo utapeli.

Me say
 
Mayalla mbona unanibatiza ukristo bill kuniuliza? Mimi sijajaliwa kutapeliwa Kama wewe kwenye dini namala.

Dini=utapeli wa kisayansi
 
Utaitaja vipi Historia ya Tanganyika / Tanzania bila kuwataja Waislam? Au huelewi kuwa wao ndio walioanzisha harakati za Uhuru?

Naona unasumbuka sana unapoona Waislam wakitajwa katika historia ya ukweli. Pole sana, ukweli utabaki kuwa ukweli daima.
Mama umri unakutupa vibaya

FaizaFoxy niliyekuwa namsoma zamani sio huyu
 
Mohamed Said

Kwanini usiseme kina fulani na fulani kwanini wameondolewa kwenye historia ila unataja dini ya hao kina fulani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…