Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kawaida amesema “Kwako Polepole, hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa, kukosa amani ya moyo ni hali ya nafsi binafsi, si hoja ya kimfumo, kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, basi hatutakuwa na uongozi wa taasisi bali wa hisia, hulka sio nafsi”

Balozi wa Tanzania nchini Cuba na aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Hesron Polepole alitangaza kujiuzulu Ubalozi jana July 13 2025 ambapo katika barua yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambayo ameichapisha katika kurasa za mitandao yake ya Kijamii jana Polepole amesema amefikia hatua hiyo baada ya tafakuri ya kina juu ya mwelekeo wa sasa wa uongozi Nchini.

Pia soma Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kawaida amesema "Kwako Polepole, hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa, kukosa amani ya moyo ni hali ya nafsi binafsi, si hoja ya kimfumo, kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, basi hatutakuwa na uongozi wa taasisi bali wa hisia, hulka sio nafsi"

Balozi wa Tanzania nchini Cuba na aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Hesron Polepole alitangaza kujiuzulu Ubalozi jana Juli 13 2025 ambapo katika barua yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambayo ameichapisha katika kurasa za mitandao yake ya Kijamii jana Polepole amesema amefikia hatua hiyo baada ya tafakuri ya kina juu ya mwelekeo wa sasa wa uongozi Nchini.
 
KILA KIONGOZI AKIJIUZULU KISA NAFSI, HATUTOKUWA NA UONGOZI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kawaida amesema “Kwako Polepole, hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa, kukosa amani ya moyo ni hali ya nafsi binafsi, si hoja ya kimfumo, kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, basi hatutakuwa na uongozi wa taasisi bali wa hisia, hulka sio nafsi”

Balozi wa Tanzania nchini Cuba na aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Hesron Polepole alitangaza kujiuzulu Ubalozi jana July 13 2025 ambapo katika barua yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambayo ameichapisha katika kurasa za mitandao yake ya Kijamii jana Polepole amesema amefikia hatua hiyo baada ya tafakuri ya kina juu ya mwelekeo wa sasa wa uongozi Nchini.
 
Attachments

  • IMG-20250714-WA0327(1).jpg
    IMG-20250714-WA0327(1).jpg
    57.8 KB · Views: 20
1752485399542.png

CCM IS FULL OF IDIOTS WHO THINK THEY ARE GENIUSES.
KWA KUMUANGALIA TU JAMAA UNAMUONA NI IDIOT, ILA KWA VILE ANA GWANDA LA CCM ANAHISI ANA THAMANI YA KUCHAMBUA MAAMUZI YA POLEPOLE. WENGI WA HAWA MAZOBA BILA YA CCM WANGEKUWA WAKATA VIUNO KWENYE VILABU VYA POMBE ZA KIENYEJI.
1752485724550.png
 
Ni Bora kukosa kiongozi kuliko kuwa na kiongozi ambaye anakiuka haki.Yaani anateka na kuua watu anaowaongoza halafu kwenye uchaguzi anaweka anaowataka yeye na siyo wanatakiwa na wananchi.Polepole kachukua njia sahihi ya kujitenga na waharifu.
 
Huyo bwana ndogo anatakiwa kuwa na subra wakati anaendelea kukua na ajue kuna masuala wanaongea wale wenye meno 36 tu vinywani kwao.
Na kama ataona anayejiuzuru anakosea basi na akafungue kesi mahakamani ama basi naye kama akiona vipi naye ajiuzuru tu hakuna anayemlazimisha kuishi nje ya misingi na imani yake.

Ila kwa umri wake, ajiandae kuyaona mapenzi mema ya Mungu mwenyezi yakitamalaki katika ardhi ya Tanzania
 
Back
Top Bottom