LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,302
Mimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein Machinga ..
Kwa anaefahamu CV ya Tshabalala afunguke .
Kabla ya kusajiliwa SSC alikuwa chama gani?
Viongozi wa Yanga ..Fanyeni mpango.mumvute Tshabalala jangwani .
Akiungana.na Fei Toto pale itakuwa bonge la Chemistry