Tuwekee First Eleven yako ambayo unadhani inaweza kukifunga kikosi hiki.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Nàanza kwa kudeclare interest. Mimi ni die hard fan wa Dar Es Salaam Young Africans na kifuatacho ndio kikosi changu bora cha wakati wote kwa wachezaji wanao/ walio wahi kucheza soka la bongo.

1. Mwameja Mohamed Mwameja sub wake Steven Nemes.

2. Kasongo Athumani ( Mdogo wake na Al Marhum Issa Athumani Mgaya )

3. Keneth Pius Mkapa sub wake Anwar Awadh, Mohamed Hussein Zimbwe Jr ( Tshabalala) na Gadiel Michael.

4. Nadir Haroub " Cannavaro"

5. George Magere Masatu sub wake Boniface Pawassa.

6. Said Mwamba Nassoro Kizota sub wake Hussein Amani Masha.

7. Simon Msuva

8. Feisal Salum Abdallah alias Fei Toto

9. Mohamed Hussein Machinga sub wake Nteze John Rungu.

10. Zamoyoni Mogellah sub wake Mbwana Sammatta.

11. Edibily Jonas Lunyamila.

Kwa kikosi hiki unadhani unaweza kuengeneza kikosi kinacho weza kukifunga kikosi changu hiki.

Tupe kikosi chako mkuu tuone kama kinaweza kufua dafu mbele ya kikosi hiki .

# Unaruhusiwa kutumia wachezaji wangu kwenye kikosi chako.
 
Kipa
Athmani Mambosasa, Patrick Mwangata na Kakolanya.
2. Salum Kusi
3. Ken Mkapa
4. Suleiman Matthew
5. George Magere Masatu
6. Primuss Kasonso
7. Lunyamila
8. Hussein Masha
9. Wilfred Kidao
10. Said Mwamba Kizota
11. Kichuya
 
1.Metacha mnata

2. Paul Godfrey boxer

3 mazoya mtaani liver hero's fc

4. Erasto nyoni

5. Yondani

6. Juma nyange (Alliance )

7 iddy Suleiman (nado)

8. Dulla mbabe Captain mandoes academy sumve pure talent niliyoishuhudia mtaani .

9. George saitoti striker Liver hero's mtaani anakau Delima ndani yake

10. Baraka damiani mtaani a.k.a chopa pure tarent

11. Hance Masood Ex- Alliance captain

Hiki kikosi siwezi kufungwa hata na Liverpool ya Jürgen klop mm nikiwa coach
 
1.Mwameja/ Mfaume Athumani
2.Bakari Malima/Meck mexime
3. Keneth Mkapa/Said Sued/Alphonce modest
4.Said Mwamba kizota/John Mwaansasu
5. George Magere masatu /pawasa
6.shaban Ramadhan /idd chuji/Matola
7. Said maulid smg/Akida makuda
8.salvatory edward /madaraka suleiman/Haruna moshi
9.Chinga one/ Idd phonce mwamlima
10. Yussuph macho /Nteze John rungu/Idd moshi mnyamwezi
11. Lunyamila /Mwakingwe
Hiki ni kuanzia late 90s tusijeulizana maswali ya enzi za wahenga kwa kina makumbi juma.
 
Nàanza kwa kudeclare interest. Mimi ni die hard fan wa Dar Es Salaam Young Africans na kifuatacho ndio kikosi changu bora cha wakati wote kwa wachezaji wanao/ walio wahi kucheza soka la bongo.

1. Mwameja Mohamed Mwameja sub wake Steven Nemes.

2. Kasongo Athumani ( Mdogo wake na Al Marhum Issa Athumani Mgaya )

3. Keneth Pius Mkapa sub wake Anwar Awadh, Mohamed Hussein Zimbwe Jr ( Tshabalala) na Gadiel Michael.

4. Nadir Haroub " Cannavaro"

5. George Magere Masatu sub wake Boniface Pawassa.

6. Said Mwamba Nassoro Kizota sub wake Hussein Amani Masha.

7. Simon Msuva

8. Feisal Salum Abdallah alias Fei Toto

9. Mohamed Hussein Machinga sub wake Nteze John Rungu.

10. Zamoyoni Mogellah sub wake Mbwana Sammatta.

11. Edibily Jonas Lunyamila sub wake Madaraka Suleyman.

Kwa kikosi hiki unadhani unaweza kuengeneza kikosi kinacho weza kukifunga kikosi changu hiki.

Tupe kikosi chako mkuu tuone kama kinaweza kufua dafu mbele ya kikosi hiki .

# Unaruhusiwa kutumia wachezaji wangu kwenye kikosi chako.
#3 Alphonce Modest ni mzuri kuliko Anwar na Gadiel.

#4 Muweke Victor Costa Nampoka Nyumba

#7 Muweke na Abdul Machine pia.

#8 Weka Ramadhani Lenny a.k.a Mapafu ya Mbwa (RIP), toa huyo mtoto.

#9 Mhamishie Said Nassor Mwamba Kizota Vipepsi. Alicheza kwa ufasaha zaidi pale #9 na Libero Mkoba (#5) kuliko hapo #6 ulipomuweka.

#11 Madaraka Suleiman hachezi hiyo number.
 
1.Mwameja/ Mfaume Athumani
2.Bakari Malima/Meck mexime
3. Keneth Mkapa/Said Sued/Alphonce modest
4.Said Mwamba kizota/John Mwaansasu
5. George Magere masatu /pawasa
6.shaban Ramadhan /idd chuji/Matola
7. Said maulid smg/Akida makuda
8.salvatory edward /madaraka suleiman/Haruna moshi
9.Chinga one/ Idd phonce mwamlima
10. Yussuph macho /Nteze John rungu/Idd moshi mnyamwezi
11. Lunyamila /Mwakingwe
Hiki ni kuanzia late 90s tusijeulizana maswali ya enzi za wahenga kwa kina makumbi juma.
Sijui kwanini sikumkumbuka Bakari Malima
 
Kipa
Athmani Mambosasa, Patrick Mwangata na Kakolanya.
2. Salum Kusi
3. Ken Mkapa
4. Suleiman Matthew
5. George Magere Masatu
6. Primuss Kasonso
7. Lunyamila
8. Hussein Masha
9. Wilfred Kidao
10. Said Mwamba Kizota
11. Kichuya
Lunyalunya hachezi hiyo namba
 
Kuna mwaka yalifanyika mashindano ya Challenge ambapo Tanzania tulikuwa wenyeji, hivyo tukaingiza timu mbili.

Naombeni kukumbushwa ilikuwaje, maana nakumbuka kama Fainali au nusu Fainali hizi timu zilikutana na ile Timu B ya kina Salum Kabunda ndiyo ilishinda.

Sikumbuki chochote kabisa, maana mzee wangu alikuwa anashabikia A mimi nikachagua B.
 
Victoria team, hii timu chake kilikuwa Mwanza pale CCM Kirumba.

Nyingine timu nyingine ilikuwa inaitwa Kakakuona, kituo chake kilikuwa pale Arusha.

Iliyofika mbali hadi fainali kama sikosei ilikuwa ni Kakakuona, enzi hizo Lunyamila alikuwa moto kweli kweli na akina Nteze John pia na wengineo wengi.
 
Aisee shukrani mkuu kwa kunikumbusha, hao kina Lunya nadhani walipangwa Mwanza na hiyo Victoria.

Kakakuona alitolewa fainali kama hivyo.
 
Kuna mwaka yalifanyika mashindano ya Challenge ambapo Tanzania tulikuwa wenyeji, hivyo tukaingiza timu mbili.

Naombeni kukumbushwa ilikuwaje, maana nakumbuka kama Fainali au nusu Fainali hizi timu zilikutana na ile Timu B ya kina Salum Kabunda ndiyo ilishinda.

Sikumbuki chochote kabisa, maana mzee wangu alikuwa anashabikia A mimi nikachagua B.
93 timu ya taifa ilichukua challenge cup first eleven karibu yote ilikuwa SSC na ni hiyo first 11 ilofika fainali CAF
 
Mkuu kuna jamaa kataja Victoria na Kakakuona, je unazikumbuka hizo?

Hiyo 93 nadhani ndiyo kipindi cha ile timu ya kina Kalusha Bwalya, ambayo wengi walikuja kupata ajali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom