GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,813
- 18,426
Injuries kwa athlete sio lazima kuwe na contact.Aisee ni kweli alijivunja hakukua na contact yeyote serious aliamua kukwepa lawama kiaina. Yaleyale ya Enonga
Asante mkuu nimekupataInjuries kwa athlete sio lazima kuwe na contact.
kama huwa unafuatilia michezo utaona mara kadhaa mchezaji anakimbia au yuko mwenyewe, mara ghafra anakaa chini,
Mara nyingi inakuwa ni majeraha ya misuli.
Nimeongea mimi sijasema makocha wewe kocha niambia nini anachangia kwenye team, assist? zero, goal? msimu mzima mawili moja. kukimbia tu manguvu kuji position tu hajui ndio maana alivyoenda huko kufanya majaribio tena sijui Norway akaambiwa huwezi. Mpira ni akili sio maguvu.Makocha wanamuelewa, kuanzia wa Simba hadi wa timu ya Taifa. Onyesha cheti chako
Jana hata possession yenu ilitokana na kucheza kwenye eneo lenu na si la mpinzani ndio maana hamna hata short on target moja kwa dk zote za mchezo.Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Usifikiri watu wanapiga pasi za nyuma kwa kupenda.Kilichotugharimu jana ilikuwa ni backpass... Ukiangalia magoli yote mawili yalianzia kwa wachezaji kupoteza mpira kutokana na back pass... Na hata hatari nyingi za Berkane zilitokana na wachezaji wetu kupoteza mipira kwenye mazingira hatari due to back pass.
Simba waepuke Sana pasi za nyuma, wajifunze kupiga mipira mirefu mbele kuliko kumlazimisha kucheza vi pass kwenye presha
Hamna cha kuchoka wala nini...kwanza mkumbuke mmecheza na bingwa wa Morocco, pili ubora wa Berkane game ya jana ulikuwa juu. Majamaa yanakaba sio kitoto.Kila siku huwa tunagharamiwa na back pass, na vile defence yetu sio ngumu kivilee ktk match za temptation,
Jana mabao yote yametokana na back pass, ambazo nazo hazikua sahihi, ndo tukapoteza hivyo.
Wachezaji wanaonekana wamechoka mno, sijui kisa match mfululizo za viporo, Daah
Hatari sana kuna yule midfilder wao anaitwa Kamala ile namba sio mchezoJana hata possession yenu ilitokana na kucheza kwenye eneo lenu na si la mpinzani ndio maana hamna hata short on target moja kwa dk zote za mchezo.
Hiyo ndio Berkane ya Morroco, kwa taarifa yako Morocco iko level za Ulaya. Mmekutana na mpira mkubwa/mpira wa akili kubwa mnaanza kulaumiana wenyewe Kenge nyie. Kama kwa JKT na Mashujaa tu unahonga refa unatarajia utawafunga hawa.Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Na waishukuru sana kamati yao ya UBAYA UBWELA kufika mpaka kwa marefa wa VAR.Hamna cha kuchoka wala nini...kwanza mkumbuke mmecheza na bingwa wa Morocco, pili ubora wa Berkane game ya jana ulikuwa juu. Majamaa yanakaba sio kitoto.
Zile dk4-5 kipindi cha kwanza mashabiki wa Simba wakaanza kujazana upepo ooohh tunawamudu mara wepesi kumbe lilikuwa swala la muda kuamua, hatimae yametokea tuliyo yashuhudia
Na waishukuru sana kamati yao ya UBAYA UBWELA kufika mpaka kwa marefa wa VAR.Hamna cha kuchoka wala nini...kwanza mkumbuke mmecheza na bingwa wa Morocco, pili ubora wa Berkane game ya jana ulikuwa juu. Majamaa yanakaba sio kitoto.
Zile dk4-5 kipindi cha kwanza mashabiki wa Simba wakaanza kujazana upepo ooohh tunawamudu mara wepesi kumbe lilikuwa swala la muda kuamua, hatimae yametokea tuliyo yashuhudia
Mtu mmoja kasema mkono wa Karia haufiki Morocco. Berkane ni bingwa wa Morocco. 25/26 wanaingia club bingwa kingine wale wachezaji mnyumbuliko wao hasa wanapokua na mpira ni habari ingine.. Kibu D kazi kukimbia na vichenga vyake vya uongo na kweli kisha anaporwa nyeupeHiyo ndio Berkane ya Morroco, kwa taarifa yako Morocco iko level za Ulaya. Mmekutana na mpira mkubwa/mpira wa akili kubwa mnaanza kulaumiana wenyewe Kenge nyie. Kama kwa JKT na Mashujaa tu unahonga refa unatarajia utawafunga hawa.
Mikia ni wapiga kelele wazuri..jana wamekabiwa juu pumzi ikakata. Wiki hii yote utasikia kwa Mkapa hatoki mtuNa waishukufu sana kamati yao ya UBAYA UBWELA kufika mpaka kwa marefa wa VAR.
Lile goli la tatu sijui hata limekataliwa kwa offside Gani plus penalti mbili ambazo refa alikataa kwenda kujiridhisha kwenye VAR na Ile fohl iliyotokea karibu na box upande wa kulia
Huwa nashangaa sana watu wanavyomkubali jamaa! Yaani mashabiki wa Simba na Yanga wote utawakuta wakimuaminia kwelikweli.Mimi sijawahi kumuelewa Kibu ni defender au kiungo au mshambualji naona mtu fulani hana mchango wowote zaidi ya maguvu tu akili ya mpira zerooooooooo.
Na bado..!! Mpaka msemeeeee...!! Mtamkataa kila mtu kuleKwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
Jana Ateba ulimi nje sio mchezoMukwala, Mutale ,wanahitajika
Mkuu ukitaka KUAMINI nacho SEMA weka video hapa jukwaani tuone WANAMWAYA WAKISABATO π na jinsi Beki za Simba π¦ zilivyo kua ZINAKABA mipira ya Kona na hata kuzuia na kupoza MASHAMBULIZIEti kama Wanakwaya wa Kisabato. πππ€£
Quality ndio ina amua mngecheza na Kagera sugar hapo ungenuona Mpanzu kama RonaldoKila siku huwa tunagharamiwa na back pass, na vile defence yetu sio ngumu kivilee ktk match za temptation,
Jana mabao yote yametokana na back pass, ambazo nazo hazikua sahihi, ndo tukapoteza hivyo.
Wachezaji wanaonekana wamechoka mno, sijui kisa match mfululizo za viporo, Daah
Usimtetee jamaa aliogopa lawama hili ni jicho la mwewe tume mmulikaaInjuries kwa athlete sio lazima kuwe na contact.
kama huwa unafuatilia michezo utaona mara kadhaa mchezaji anakimbia au yuko mwenyewe, mara ghafra anakaa chini,
Mara nyingi inakuwa ni majeraha ya misuli.