Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Jipeni pole wiki hii kuna uwezekano kusiwe na tukio la kudandia. Mnazidi kupotea, akili ikija wakaa sawa 2020 oktoba iko kwenye kona.
Kitu hujajua ni kwamba huko kwenye hivyo vyama vyenu sipo hata kidogo.

Pole kwasababu huko ndio kumekufanya upimiwe akili,akili unazo lakini hivyo vyama vyenu vinawapimia akili za kutumia.

Hamuwazi taifa lenu mnawaza uchaguzi unaofuata,hovyo kabisa vijana nyie.
 
Jiulize kwanza, kwa nini hakwenda hospitali akaenda nyumbani moja kwa moja tena kwa furaha? Huyu ni mtu aliyechukuliwa mateka zaidi ya wiki, huu ni usanii 100% hawa Wahindi wanawachezea tu, ...
 
Familia ya Mo Dewji na Mo mwenyewe wanarudiarudia sana "kumshukuru" Magufuli kwa kupatikana kwa Mo...hivi kwa kumbukumbu tu, Magufuli amefanya kitu gani hasa kusaidia kupatikana kwa Mo? Au ndo namna yao ya kutueleza kuwa hatma ya uhai wa Mo ilitegemea hasa HISANI ya Rais?

Ulitaka wamshukuru Mbowe au Lema?
 
kkk !
IMG-20181020-WA0000.jpg
 

Attachments

  • IMG-20181020-WA0000.jpg
    IMG-20181020-WA0000.jpg
    24.7 KB · Views: 13
Taarifa toka kwa wanyetishaji ni kuwa kuna jamaa alikuwa anapita ndio Mo akaweza pata msaada wa simu apige nyumbani.
Jamaa yawezekana akapewa mzigo wake, yawezekana ukawa sio wote ila salio lake litaongezeka EXPONENTIALLY.
Anaweza pia akaisaidia polisi kwa kujipitisha aonekane katoa msaada kumbe ni muhusika, mahabusu inamsubiri.
 
wanasema ni watu wa South Africa
Yaani hauamini kuwa Afrika Kusini kuna baadhi ya raia wake ni wazungu ?
-----
Hata hivyo, nafikiria alivyorushwa hapo Jimukana...! Huku kukiwa na surveillance ya Navy/Marine, Air force, na aina nyingine za udhibiti wa usalama. Najaribu kudadisi..!
 
Unataka kutuambia waliomteka kabla yakufanya hivyo hawakutingisha Dishi pale jumba jeupe? namba moja anavyopenda kutukuzwa ingekuwa hakushirikishwa B4 hata jua lisingezama angeshapatikana na TV zote zingekuwa live akionekana kuliongelea jambo hilo
Dili limegoma waswahili husema walivyodhani ndivyo sivyo.
 
Back
Top Bottom