nakubaliana na wewe kabisa..... Maana marais wa ivyo ni wachache sana Africa na wengi wao hawataki kutoka madarakani. kama inatolewa kila mwaka wataishiwa majina soon.hii award ina mapungufu makubwa sana... kama alikosa mwaka jana iweje awe tena kwenye kuiwania? hii award haitakiwi kuotolewa kila mwaka maana mwisho wa siku watakuwa wameisha marais bora naitaenda kwa ambae hafai. inatakiwa itolewe labda kila baada ya miaka mitatu ili tuwe tumepata wastaafu wapya.... na ikiwezekana mara nyingine mshindi akosekane
pamoja na propaganda zote bado MZEE BEN ni kifaa katika historia ya utawala wenye mafanikio hapa nchini. kuingia kwake kwenye kinyanganyiro hicho na kutajwa kama mshindani makini kwa kirefu na vyombo mbali mbali ni historia na alama ya mafanikio kwake kama kiongozi na taifa aliloliongoza.
Mzee Ben rekodi yake ni ya kujivunia, ushahidi upo machoni mwa jamii makini. barabara, shule, huduma za serikali, economic reforms, revenue growth....
media zetu badooooooooo....au uchambuzi dhaifuuuuu.
chuki za kisiasa kwa huyu mzee zimebackfire mapemaaaaa,
Watanzania tutamkumbuka Mkapa!
Swadakta, hilo naungana nawe.Wakuu pengine niseme tu kuwa kilichonyuma ya mo ibrahimu dhidi ya mkapa ni zanzibar 2001, hilo ndilo jambo ambalo wakubwa hawakutaka litokee kule kwa kisingizio cha demokrasia lakini mkapa alithibitisha kuwa yeye ni mkuu wa nchi na siyo genge kama wakubwa wanavyotaka sasa ionekane kuwa ni uvunjaji wa haki za binadamu, ninasisitiza kuwa bwm ktk issue ya zenj ilimpasa kuwajibika ktk stahili ile, pengine tumuulize dkt salim kama yeye angelikuwa rais zama zile angefanya nini kuzima uasi ule wa wapemba? Kama kuibiwa kura walishaibiwa tangu 95, ule ulikuwa ni ujeuri wa kumtishia mtu mzima nyau.
Kuhusiana na tuhuma za ufisadi hilo nalipinga kwani Mo ibrahim org haiwezi kufanyia kazi tuhuma za mtaani ambazo hazijathibitika kisheria, na siyo mo ibrahimu tu bali mtu yeyote makini na mpenda na mtenda haki kamwe hawezi kujiingiza ktk maamuzi yanayotegemea media tena za tz.
Mogae ame score zaidi kt vita against aids jambo ambalo kwa kule wenzetu ni janga sawa na malaria tz, hivyo msije shangaa jk akiitwa tuzo hii endapo tu mambo yataenda kama yalivyo sasa hapa nchini.
All in all hii inathibitisha kuwa ndani ya mo ibrahim na panel ya majaji kuna mgawanyiko mkubwa juu ya kile kilichompatia chisano tuzo hiyo 2007, ni dhahiri kuna watu ndani yake hawakuridhika kukosa kwa mkapa.
Pengine nikubaliane na wakosoaji kuwa ilitosha kwa 2007 mkapa kuwa runner up, na haikuwa vema tena this year kum consider kwa tuzo hiyo maana jamaa kaiacha nchi 2005 hii 2008 na mbaya zaidi ni tuzo ya pili why considerring mkapa and not others hata kama si marais? Hapo wamethibitisha udhaifu wao wa vigezo kiutendaji.
Lakini ninaomba kufahamu pia kama ni kweli huyu comrade aliingizwa tena ktk kinyang'anyiro hicho ambacho si cha kuomba?
Maana nahisi media zetu kama kawaida bado siziamini.
..nakubaliana na mchangiaji aliyependekeza tuzo hii isiwe inatolewa kila mwaka.
..wajaribu kuitoa kila baada ya miaka 5 ili tuwe na washindani wengi zaidi.
NB:
..Salim Salim ni mmoja kati ya majaji wanaochagua mshindi.
..nategemea atatumia ushawishi wake kuwezesha tuzo hiyo kwenda kwa Mkapa au Kikwete.
Masatu, najua wewe ni mpiga debe mzuri tu wa Serikali za CCM lakini inapofika suala la uzalendo/utaifa ningekuomba uweke mbali mapenzi yako kwa Vyama na kutanguliza utaifa. Kwa yote mabaya Mkapa aliyofanya yaweza kuwa mapungufu ya kibinadamu maana hakuna aliye mkamilifu, lakini inapofika kuwa implicated kwenye hujuma ya kujiuzia Kiwira Coal Mine (wizi) kwa bei chee hapo inakuwa ngumu kusema kuwa huo ni upungufu wa kibanadamu maana hiyo ni hujuma kwa Uchumi wa Taifa na Watanzania.
Nikuulize swali; Je, Mkapa amekanusha hiyo tuhuma ya kujiuzia KCL na kama amekanusha hivi ni kweli kuwa KWL si mali yake? Kama angejiuzia kwa bei ya soko (kitu ambacho ni kinyume cha maadali ya uongozi) tungeweza kusema kuwa bado alikuwa kiongozi mzuri. Tena unakumbuka mauaji ya Pemba Zanzibar baada ya Uchaguzi wa 2000? Unajua kuhusu uchaguzi wa Zanzibar ulivyoendeshwa na hata kupigiwa kelele na Waangalizi wa Kimataifa na wa ndani kuwa haukukidhi matakwa ya kuwa Uchaguzi huru na wa Haki? Uongozi bora wa Mkapa uko wapi hapo? Kwenye kuruhusu kuchotwa kwa mabilioni ya EPA kugharamia kampeni za CCM?
Pili, hata hivyo sitashangaa siku akija kupata hiyo tuzo maana kwa kawaida wanaotoa hiyo tuzo si Watanzania na uzoefu unaonyesha kuwa ni Wafadhili na Watu wa nje ndiyo huwasifia viongozi wetu (hawawajui sana) nao viongozi wetu hulenga kujionyesha kwa watu wa nje kuwa wao ni viongozi bora ili kuwapendeza hao Wafadhili wao.
...Bado wanatengeneza na zawadi za wajukuu zao!!! Hawana maana kabisa.....Wajitengenezee mara mbili? wameshajitengenezea tayarii.
....Mh! Hata kama hawana vigezo vya kupewa hiyo tuzo wapewe tu kwa kuwa Salim yumo kwenye jopo la majaji???? No man!!!!haijatulia hiyo......nakubaliana na mchangiaji aliyependekeza tuzo hii isiwe inatolewa kila mwaka.
..wajaribu kuitoa kila baada ya miaka 5 ili tuwe na washindani wengi zaidi.
NB:
..Salim Salim ni mmoja kati ya majaji wanaochagua mshindi.
..nategemea atatumia ushawishi wake kuwezesha tuzo hiyo kwenda kwa Mkapa au Kikwete.
hii award ina mapungufu makubwa sana... kama alikosa mwaka jana iweje awe tena kwenye kuiwania? hii award haitakiwi kuotolewa kila mwaka maana mwisho wa siku watakuwa wameisha marais bora naitaenda kwa ambae hafai. inatakiwa itolewe labda kila baada ya miaka mitatu ili tuwe tumepata wastaafu wapya.... na ikiwezekana mara nyingine mshindi akosekane