MOEVT Imekula kwenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MOEVT Imekula kwenu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKOLE, Aug 23, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Taarifa kutoka vyuo mbalimbali vya Ualimu wa Sekondari ( T.T.C) zinasema kwamba mpaka tarehe 20/08/2012. idadi ya wanachuo waliochaguliwa kwenda kusomea stashahada ya elimu ni wachache mno pamoja na kuwa deadline ya kuripoti ilikuwa ni tarehe 12/08. Moevt imekula kwao kwani walishindwa kujua kuwa idadi kubwa ya waliokuwa wametuma maombi walifanya application vyuo vikuu, nao wakawachagua kwenda vyuoni. Kwa sasa wategemee kukosa idadi kubwa ya wanafunzi kwani kinachosubiriwa sasa ni tamko kutoka bodi ya mikopo ili wadau wafanye maamuzi ya wapi kwa kuelekea.
   
 2. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna reserve list , dont worry
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Duh! Pole yao,mimi mwenyewe Korogwe nimewaweka pending...nasubiri loan board watangaze kwanza. Nikipata mkopo wa kutosha,ndo hivyo wanisahau kabisa.
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hiyo reserve list ndo nini?
   
 5. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  safi sana, vijana kazeni buti, nendeni vyuoni msije jutia
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unashauri dip au tusubiri loan!?
   
 7. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kupanga ni kuchagua
   
 8. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  kwenye lecture huulizi maswali, chaguO NI LAKO chuo au DIP
   
Loading...