MoEVT imeamua: Marais vyuo vikuu kuitwa wenyeviti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MoEVT imeamua: Marais vyuo vikuu kuitwa wenyeviti

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by drgeorge, Dec 18, 2009.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali kupitia wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa Guidlines za muundo wa serikali8 za wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Circular hiyo ambayo imewekwa kwenye Government Gazete, ni ya tarehe 29 May 2009, na Magembe anaijua maana hata jina lake lipo mwishoni japo hakuna sahihi.

  baadhi ya mambo ni pamoja na:

  1. Wagombea nafasi za uongozi wa juu wa serikali za wanafunzi ni lazima wawe na GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea kwa mwaka ulipita
  2. Hakuna kuitwa Rais, Makamu wa Rais au Waziri mkuu wa serikali za wanafunzi ila itakuwa ni mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu na makatibu wasidizi.
  3. lakini pia bodi za vyuo (council) zimepewa mamlaka ya akuweza kufuta serikali za wanafunzi

  Vipo vitu vingi hasa vinalenga kubadili katiba za serikali za wanafunzi na vipengele vingine vingi ambavyo havieleweki.

  Tuna maswali mengi,

  Nia hasa ni nini?
  Je viongozi wa serikali za wanafunzi tumeshirikishwa kwa kiwango gani?
  Kwa nini limefanywa kwa siri kiasi hiki?
  Linaanza kutekelezwa lini?
  Je mwaka wa kwanza haruhusiwi kugombea? maana hatakuwa na GPA ya 3.5 ya mwaka uliopita..

  Mwenye taarifa za msingi na maoni yake anipatie
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,954
  Trophy Points: 280
  Acheni ujinga mnanikumbusha era ya Ujamaa ati hairuhusiwi mtu yeyote kuitwa President zaidi ya wa nchi! Hivi wamekosa cha kufanya?
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  duh! wadau walihusishwa? Prof. Magembe ameimiss migomo, asubiri sasa si amewabeep, watampigia sasa.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Geza Ulole,
  Hata enzi za Ujamaa viongozi wa wanafunzi waliitwa marais.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  halafu sijui kwa nini hizi wizara ziliungwa,harafu sijui kuitwa mwenyekiti badala ya raisi yaani wanaoana jina RAISI lina uzito sana,Atuambie kwa nini aitwe mwenyekiti na sio RAISI.Hwa viongozi wanataka kusumbua sna hivi wanaona wenzao wajinga au.
   
 6. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Baadae wanasema aitwe Kiranja Mkuu.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280

  Hata hiyo haitatosha, watakwenda Head boy and Head girl (Kaka mkuu na Dada Mkuu).

  Hii serikali kweli imeishiwa sera!! Badala ya kushughulikia mambo ya maana wao wantuletea haya.
   
 8. T

  The Golden Mean Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 15, 2008
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu waziri kama amekosa kazi aseme, tutampa, kwanza ashughulikie suala la la saba kufeli kizungu na hesabu ndio aanze kuhangaikia mengine!

  hii inaonyesha jinsi gani waziri hashughulikii mambo ya msingi anashughulikia yasiyo na mbele wala nyuma...sasa kuitwa raisi au mwenyekitu kunapunguza au kuongeza nini?

  na hilo la kusema eti council zinaweza kufuta serikali za wanafunzi ndio inaonyesha kwamba nia ni kucontrol na kuzinyima uhuru serikali hizo za wanafunzi...halafu tukizalisha viongozi wajingajinga tunajiuliza wametokea wapi, kumbe ni system nzima imeoza, sasa kama hata chuoni watu hawawezi kupractise uongozi kwa uhuru, ukimpa nchi huyo si wazungu watampeleka wanavyotaka?
   
 9. K

  Kijunjwe Senior Member

  #9
  Dec 18, 2009
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani mamlaka kusimamia uongozi wa chuo ni kuweka mipaka ya mambo ya kufanya na si muondo wa serikali ya wanachuo i.e. hakuan haja ya kuwekwa fixed muondo au vyeo vya serikali za wanachuo na hii itatoa mwanya kwa kila chuo kuweza kuwa na muondo wake.
  Natumai vyama vya wanafunzi/Chuo vitachukua hatua thabiti ya kutetea uwepo wa uhuru wa muundo wa serikali zao.
   
 10. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wadau wakiwa kimya,baadae Raisi wa serikali ya wanafunzi ataitwa "STUDENTS MONITOR"

  Huu wote ni woga wa watanzania.....
   
 11. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kikwete na watendaji wake wana kazi kubwa
   
 12. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  ewala! mara nyingi huwa nasema, narudia tena, tatizo letu mambo madogo tunayaona makubwa na makubwa madogo. Hapa ndo tuliposhikwa akili.
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Na baada ya hapo ataitwa mbwa asiye na mkia ... na baadaye ... ataitwa fisi asiye na mdomo etc etc
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  Hakuna ubaya vijana kujiita marais wa vyuo that is an inspiration kwao....kwani viongozi wengi wa sasa wameanza kwenye serikali za wanafunzi kuanzia makerere hadi sasa......nothing a big deal..kwa kuelewa hivo ndio maana siku hizi kuna mock parliament ..bunge la wanafunzi ...linatia hamasa ..KAMA WANAFIKIRI CHEO CHA RAIS KINASHUSHWA WAANZE NA ALIYAKIKALIA ANAKISHUSHA...ALAFU WAMALIZIE NA WALE MAPDG WANAOJIITA RAIS WA SINZA,RAIS WA KIMARA ...RAIS WA AKUDO..etc..
   
 15. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  The good thing is vyuo vikuu vyote vimeanzishwa kwa mujibu wa sheria, na kila chuo kinawajibika kuwa na serikali ya wanafunzi (Chama kinachowaunganisha wanafunzi wote bila kujali itikadi wala rangi).

  Utamu ni kuwa vyama hivyo vya wanafunzi,vimesajiriwa kikatiba kwa msajiri wa vyama. Katiba zao ndizo zinazoelekeza ni muundo gani wa uongozi wanaoutaka wao wenye chama.

  Swali lakujiuliza zuzu Maghembe et al; Hiyo gudline yao na sheria ya uanzishwaji wa vyama huru vya wanafunzi kipi kilitangulia?
   
 16. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ktk mfumo wake wa uongozi kuna Rais. Kabla ya Rais wa sasa Bwana Gratian Mkoba, Mhe. Margreth Sitta ndiyo alikuwa Rais.

  Je, Serikali atatoa GN ya mwongozo wa uongozi wa vyama vya wafanyakazi?
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Lol, kazi ipo, huyo Rais wetu wa Nchi ana GPA ngapi?
   
 18. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwani mwenyekiti wa CCM ana GPA ya ngapi?

  Bila hata ya kufanya haya yote, binafsi kila nikifanya assessment ya Maghembe, muonekano wake, appearance yake usoni, argument zake, yote hayanipi pich kwamba anastahili kuwa na busara.

  Hali inayojitokeza hapo inatokana na uongozi ulioko vyuoni. Wakuu wa vyuo vyetu vya umma kama tulivyowajadili, uwezo wao ni mdogo na kwa ujumla hawataki challenges. Ilijionyesha wazi kwa Mkandara alipolazimisha watu fulani washike uongozi, pale SUa pia nasikia uongozi ulitoa hata pesa kumusaidia kiumbe wao.

  Unapokuwa na viongozi kama hao lazima wataomba tena na tena kwa waziri ili mabadiliko yafanyike na bahati mbaya waziri mwenyewe ni wa hivyo. Alikuwa mwalimu wa SUA.

  Move kama hizo niliziona Uganda enzi za Idd Amin. Chama cha waalimu wa Uganda kilipomkaribisha Amin ktk sherehe yao, ilibidi MC atangaze kwamba kuanzia siku hiyo kiongozi wa chama chao atakuwa anaitwa Chairman badala ya President ili kutambua kwamba nchi hii President ni mmoja tu, yaani Idd Amin.

  Enzi za Amini linaeleweka lakini leo hii, kweli ujinga wa Waziri.
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  watu wanataka mikopo ya 100% lenyewe li magembe linakuja na upumbafu wa sijui mwenyekiti sijui rais.....serikali ya kikwete haina dira.
   
 20. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo mawaziri wa serikali za wanafunzi wataitwaje???? Huyu waziri vp huyu..?
   
Loading...