Module results for November 2012

Module results for November 2012

mmmmmmmmmmmmmmmh hatari kwelikweli,hivi hata E unakua umefaulu mimi uelewa wangu wote najua mwisho ufaulu ni C
 
amu sogea kipande hiki kuna matokeo

ahsante d ila mie ni module f na nimeshasema siangaliii ng'oooo mpaka mwaka mya uishe.
Embu niambie watu walishapanga mizawadi ya kunipa nikivaa joho la bodi sasa nikikuta ndivyo sivyo nitasemaje????na zawadi ndo nitakosa kabisa.
Wote tuliokuwa kuwa nao review wamekamatiwa mpaka sasa hata aliyeclear sijamsikia.
Ha ha nahisi ni mie peke yangu nlieclear.
Yani hapa we acha ntashinda chit chat mpaka mwaka uishe kuondoa msongo wa mawazo
 
Last edited by a moderator:

Kwa jinsi matokeo yalivyo,usijisumbue kuangalia.Afadhali uumalize mwaka huu kwa furaha uliyonayo
 
sasa wandugu kama sitting ya masomo 6,matokeo yanakuwa hivi!
je mtaala mpya wenye masomo kumi matokeo yatakuwaje?
 
we umeona wapi hayo masomo 6????
kwa ni? module E & F sindio kuna masomo 6
  1. international finance
  2. public finance& taxation
  3. financial report
  4. auditing & assurance
  5. management & control accounting
  6. contemporary accounting

sasa kwa taarifa yako kama bado uja clear ata moja ,unaweza ukawa na safari ndefu sana
 
jamani mtu anafanya masomo sita???
Hivi wewe unaelewa au kuleta ubishi usio na tija????
Yani unachanganya module E&F kwa pamoja makubwa??
Kwa taarifa yako unaanza kufanya module E ukiclear unaingia F ila huwezi kufanya masomo yote kwa pamoja.
Na msimamo wangu nitaangalia mwakani na hiyo e nlishaclear kwa first sitting.
Na hata nisipoclear labda ma tu ndo iliyonitoa jasho nayo nitaifanyia kazi may mwakani habari ndo hiyo
 
CPA(T). Kaazi kweli kweli, mtaala mpya ndio unaanza mwakan

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani wadau masomo yanaongezwa kweli au wanazingua maana sisi wengine tunasubiri yaongezwe ndio tukapige hizo pepa.
 
Kwa waliofanya mitihani ya bodi ya uhasibu matokeo tayari

kaka kitendo ulichokifanya sio kizuri kuweka matokeo humu,unajua sisi wahasibu tuna ethics zetu huwa kuna kipengele cha PUBLICITY ungekielewa vizuri usingefanya haya.matokeo yale ya uhasibu inabidi mtu ayafuate na sio yamfuate,ndio maana kuna website ya bodi.labda ndio maana hauna CPA kwa kuwa hauna ethics.
 
mbona form four wakifeli watu wanasema sana?
 
Bora wakina sisi auditing firms zinatupa stress za kazi na mishahara yao mbuzi lakini wanatusomesha ACCA, huku hakuna presha za matokeo.. Mdogo mdogo hadi unangoa jiwe..
 
Bahatisha bahatisha. Angalia fails ziko kibao wakati watu wanavyeti vyao vya vyuo kwa marks za juu toka kwa maprofessor! hapo bodi ya uhasibu yupo nani professor!??
 
Back
Top Bottom