Naona inbox ya Mr Rocky hapo imejaa mara kutoka kwa Mamndenyi mara Dena Amsi
Mbona ya kutoka kwa The secretary kwenda kwa Bishanga hujaweka
Tangu lini mume na mke waka prime ministiana
The secretary huwa sometime wanaprime ministiana inapotokea dharura kuwa Bishanga atalala nje ya nyumba kutokana na semina elekezi za mchakato wa kupangisha nyumba yenu
Ungejua!........hizi safari za Tanga za wajeiefu unaziamini?
Ungejua!........hizi safari za Tanga za wajeiefu unaziamini?
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo
Inbox ya sosoliso.....hivi wewe Paloma kakuroga? From Arabela
Inbox ya Erickb52......achana na Chocs jana nimemwona na Arushaone mount meru,please call amu
Inbox ya pou: hivi huyo King'asti unamjua uzuri? From gfsonwin
Inbox ya Dena Amsi.....we told you Mr Rocky karudi kwa mkewe
ya kwako hata kuku watashangaa