Mods, hebu wekeni utaratibu bora wa alerts

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,393
2,000
Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja unafanya sie tunaotumia visimu vya kawaida tupate tabu sana kujua kama kuna mtu kakuuliza swali au ametaka ufafanuzi wa posts uliyotuma.

Au naomba nielekezwe namna nzuri ya kujua qoutations na likes katikati ya alerts nyingi sana, say alerts 50 au zaidi. Kuna wakati napotea kwa siku mbili nakuta alerts kama 500.
 

Chrisvern

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
2,434
2,000
Ruhusu notifications za watu wanao kuquote na wanaolike your contents. Notification zingine potezea.
 

Chrisvern

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
2,434
2,000
Sie born before tech ni shida, hebu nielekeze nafanyaje kuachana na notification za new threads!?
Nenda ktk akaunti yako kisha chagua preferences -> alert preferences
IMG_20180823_173742.JPG
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom