Modern Bar

Modern Bar

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Kitu hicho
 

Attachments

  • 1390298806438.jpg
    1390298806438.jpg
    27.3 KB · Views: 655
Hii bar ni spesheli kwa jinsia ya Me pekeee?
Nafikiri baada ya mvinyo kupanda hata hapo itakuwa bado ni mbali wangetafuta mbinu ya kuunganisha direct toka kwenye kikojoleo.
 
Hapo ni mwendo wa gambe kwa kwenda mbele...hakuna kutegea kunywa eti unaenda toi..ohh mududumu ananichelewesha mara ohhh sijui nininininiiii...pombe tuuu.
 
Bill inakuja kama ya dawasco mwezi kwa mwezi lol.
 
hahaha duu ila nahis hapa malipo ni kabla au mwisho wa mwezi..ila hii ni spesheli kwa wanaume coz wanawake hapo ni ngumu
 
...lazima pananuka sana hapo,walevi wanatabu sana...
 
baada ya miezi mitatu ya operation,mmilika wa bara atakua na mtaji wa kutosha kwenda kuwekeza kwenye vitalu vya gas mnazi bay
 
Sasa sie tuliozoea kugida varieties itakuwaje na hizo cork? au kuna batan unapress a liquor of your choice!?
 
Back
Top Bottom