moderm za zain sh 15000 tu

kijana fanya utaratibu wa kuweka namba za simu bwana hau hizo modem za wizi nini kuwa muwazi wadau tunazitaka tukazichakachue
 
kijana fanya utaratibu wa kuweka namba za simu bwana hau hizo modem za wizi nini kuwa muwazi wadau tunazitaka tukazichakachue

Weka namba ya cm basi
 
Nitumie nahitaji sana moderm za airtel, Tz hakuna zain tena angalieni msije uziwa kanyaboya
 
Huyu jamaa hayuko serious, kuhusu modem za zain zipo ila chache na ndio ninatumia.
 
Au za magumashi ,modem za airtel zinauzwa mara 3 ya hiyo bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…