Habari wana JF!!
Natumia moderm ya vodacom, siku za hivi karibuni imekuwa inakula fedha isivyo kawaida!! Awali nilipokuwa na outoupdate ya program mbalimbali hela ilikuwa haiendi kama sasa!!
Nimecancel outoupdate zooote ila bado hela inakwenda kwa speed ya ajabu, naweka bando ya 120GB nafungua JF home page tuu inanambia umemaliza bando!! Nimebadili line lakini bado tuu
Leo ni siku ya nne naweka 120GB after few hours nikiwa nimefungua JF tu inanambia bando kwisha!!
Hii ni mbaya sana kwa voda, sitaki kuamini ni computer maana nimeformat tenaa