Modem yangu imenikatalia kufunguka siilewi inatatizo gani, naomba wataalam mnisaidie tafadhali, hii modem nimesha i unlock nimetumia sana tu kwa computer tofauti lakini kwa mtandao mmoja wa Airtel tu. IMEI yake ni 352965043912508 na S/N ni B55TAA1062205835. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
AHSANTENI.