Naomba msaada wenu jinsi ya ku unlock ZTE K3805 vodacom

Naomba msaada wenu jinsi ya ku unlock ZTE K3805 vodacom

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,595
Naomba msaada wa ku unlock ZTE K3805 VODACOM modem, natanguliza shukrani.
 
naomba msaada wa ku unlock ZTE K3805 vodacom modem, natanguliza shukrani

NIJUAVYO HIZO MODEM HAZIKO LOCKED BALI DASHBOARD YA VODAFONE MOBILE BROADBAND ILIYOKUJA NA HIYO MODEM NDO INAKATAA KUSUPPORT LINE ISIYO YA VODA.

ILI UWEZE KUTUMIA LINE ZOTE UNATAKIWA UTUMIE DASHBOARD MBADALA.
KWA VILE HIZI MODEM NI ZTE ICERA HVYO JOIN AIR HAITAWEZA KUSAIDIA,DASHBOARD PEKE INAYOKUBALI NI O2 CONNECTION MANAGER AMBAYO UNAWEZA PAKUA HAPA http://softwaredownloads.o2.co.uk/O2Broadband_SoftwareDownloads/setup.exe

CHAKUFANYA :-
1. PAKUA HIYO SOFTWARE NA KUINSTALL THEN RESTART PC YAKO

2.WASHA PC NA KUCHOMEKA MODEM YAKO
3.KAMA DASHBOARD YA VODA ITAFUNGUKA WE IFUNGE AFU USUBIRI O2 IDETECT MODEM YAKO
4. CONNECT KAMA HAIJAJICONNECT AUTOMATICALLY
5. UKIWEZA INGIA SETTING YA VMB ILI KUIZUIA ISIJISTART KILA UCHOMEKAPO MODEM.

ENJOY 14.4MBps
 
sijafanikiwa ijapokua nilifanya yote ulonielekeza ila hai detect it means hazionani na modem
O2 inadetect modem zote za ZTE na Huawei pamoja na brand zingine.
Mimi binafsi natumia hiyo K3805-Z kwa Airtel.
Hakikisha umeinstall dashboard ya kwenye modem yaani VMB na usiiunstall maana ndiyo inabeba driver za hiyo modem sema ikistart tu hiyo dashboard ndo unatakiwa uifunge kabisa isiwepo hata notfication icon kwenye task bar.
sasa fungua O2 Connection Manager ukikwama rudi.
 
ngoja nijaribu ntarudisha feedback
 
Back
Top Bottom