hi wanajukwaa,,,nimesikia redion wakitangaza kuwa modem za zantel sasa zimeshuka fro 30000 mpaka 15000,,,kwa ambaye kasikia nakuona basi atwambie hii ni modem model gani,,,specifications zake!