modem za zantel

modem za zantel

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
hi wanajukwaa,,,nimesikia redion wakitangaza kuwa modem za zantel sasa zimeshuka fro 30000 mpaka 15000,,,kwa ambaye kasikia nakuona basi atwambie hii ni modem model gani,,,specifications zake!

KARIBU
 
hi wanajukwaa,,,nimesikia redion wakitangaza kuwa modem za zantel sasa zimeshuka fro 30000 mpaka 15000,,,kwa ambaye kasikia nakuona basi atwambie hii ni modem model gani,,,specifications zake!

KARIBU

Modem zinazouzwa 15000 niza CDMA. Na 30000 unaweza ukaeka GSM
 
Zinauzwa kwenye maduka ya zantel.na mtu mmoja kasema kanunua Jana kwa 10,000Tsh
 
hata mimi nimeziona

-ni zile ec122 speed 3.6 mbps na unapewa na bundle ya unlimited sku 3 ya sh 10,000
 
ukishainunua ucje ukauliza how to unlock it
 
Back
Top Bottom