Modem za tiGO zina chakachulika?

Hongera mpwa! Kama uko maeneo inapo patikana 3G, speed huwa inafika hadi 2.5Mbps.

mzee hili neno mpwa manaake nini?yeah airtel napata 3g hapa,ila tgo napata 2g,hii 3g ya tgo naisikia kwa watu 2.
 
mzee hili neno mpwa manaake nini?yeah airtel napata 3g hapa,ila tgo napata 2g,hii 3g ya tgo naisikia kwa watu 2.
Mtoto wa mjomba,or ndugu..... Mkuu kama upo nje ya mji huwezi kupata 3G ya tiGO.
 
mimi imegoma tatizo ni nini

Tatizo mnakuja na kusema imegoma pasipo kuelezea njia mlizo zitumia ku-unlock, inakuletea msg gani unapo jaribu kuchakachua? na umetumia software ipi?
 
@godfreymk cjui ka utajibiwa..heh heh!
 
wakuu kwa sasa zantel wapo kwenye mabadiliko wa mitambo ndiyo maana unaona speed ya zantel ipo slow more....wakuu TTCL wametoa modem za za banyuka wanacharge kwa mda kuna mtu yoyote mwenye info kuhusu modem za TTCL
 
jamani naombeni utofauti kwa waliotumia hizi modem katika upande wa speed unapokuwa katika mtandao wa EDGE kati ya modem ya tigo,voda na zain.
 
jamani naombeni utofauti kwa waliotumia hizi modem katika upande wa speed unapokuwa katika mtandao wa EDGE kati ya modem ya tigo,voda na zain.
modem ya voda iliyochakachuliwa na kuwekwa line ya Airtel kwenye EDGE iko na speed nzuri.
 


Hi Nicky / Muganyizi

Hiyo software haifunguki tena mkuu!!

Napata ujumbe ufuatao:
1. Unexpected end of archive;
2. Nikijaribu tena napata msg: archive in unkonwn format or is damaged.

Tafadhali iangalie na uturekebishie ... natanguliza shukurani.
 

Tutaifanyia kazi mkuu, umejaribu kudownload kwenye post ya kwanza? Maana nimei-upload jana.
 
Hiyo poa sana, mimi ninayo ya zantel hiyo haifanyiwi mambo na mimi nifurahie bure japo gharama!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…