Modem za tiGO zina chakachulika?

Modem za tiGO zina chakachulika?

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Wakuu naomba kujua kama hizo modem za tiGO zina chakachulika ili ni wanunulie vijana wangu wajimwage na Airtel,

wamezishusha bei hadi TSH 30,000.




jinsi ya kuchakachua.

Wakuu,
Kwenye kuchakachua Modem ya tiGO kazi ni nyepesi tu, ni hatua tatu tu modem yako itakuwa unlocked... fata maelezo yangu hapa chini, mstari kwa mstari.

1. Install hiyo Modem kwenye computer yako. Ni vema line ya Tigo iwe ndani.

2. Download hilo attached file (chini ya hii post), then li-unzip........ ukili-unzip utakuta vi program viwili, Modem Code Writerna Universal master code.
Anza na kufungua Modem Code Writer. Ni ka aplication simple tu, katakusaidia kusoma version ya software ya hiyo modem na IMEI yake. Tunacho hitaji sisi hapo ni IMEI tu.

Ukikafungua hako ka-aplication (Modem Code Writer) katatokea ka-window, na kwa chini kuna mistari miwili, mmoja umeandikwa Please select Com Port na mwingine umeandikwa Unlock Modem.
Click kwenye Please select Com port , then select Detect, hapo itatokea Port number modem ilipo, ichague hiyo Port na then click accept and then click Unlock Modem
Kama uliinstall modem yako vizuri na ukafata procedure zote, Kutatokea vitu vifuatavyo; Model namba ya Modem, software version na IMEI vitakuwa displayed kwenye hako ka-window, (hiyo IMEI tutaitumia kwnye step ya tatu hapo chini)......... na kitu cha pili katatokea ka-window kengine kadogo pembeni kenye sehemu ya kuingiza unlock codes(8 digits).... most cases kanakuwa na 8 zeros (00000000). Ukifika hapo simama kidogo, nenda hatua ya tatu.

3. Sasa fungua Universal Master Code..... kwa pale juu chagua Manufacturer wa modem yako (Nyingi ni Huawei).......Copy sasa hiyo IMEI tuliyoipata kwenye kale kawindow ka hapo step namba 2, na paste hapo kwenye sehemu ya kuweka IMEI then click Calculate..........Kulia hapo utaona Unlock code na Flash code......Copy hiyo Unlock code........Sasa rudi pale tuliposimama kwenye step 2, ka-paste hiyo unlock code kwenye kale kawindow kenye zero-zero, futa zile zero-zero weka hizo Digit nane za unlock code then click Unlock Modem......After few seconds itakwambia unlock success full.... hapo kazi itakuwa imekwisha, chomoa Modem yako weka line yoyote kuitest... Kazi itakuwa imekwisha!!!



View attachment 24558
Jaribu hii hapa
View attachment Modem Unlocker.rar
 
mganyizi hii kitu hata me niko katika ufatiliaji!!
ila i heard ziko counterblocked so haziwezi kuchakachulika,unless you flash the modem,ambayo haijakuwa completely proved..
oh lets wait for others,they may have some ideas
 
Wakuu mimi sijakutana nazo ila kama ni counter blocked from factory. he he hee! not possible with codes request. kuna njia inatumika ila sijajaribu hii ya tigo. nitanunua moja kesho then i will work on it andpost results.
 
Wakuu mimi sijakutana nazo ila kama ni counter blocked from factory. he he hee! not possible with codes request. kuna njia inatumika ila sijajaribu hii ya tigo. nitanunua moja kesho then i will work on it andpost results.

Mkuu, ukifanikiwa kuipata usisite kutujulisha kama ina chakachulika.
 
Jamani vp Modem za Zantel zinaweza kuchakachulika? kwan naitumia kwa mda mrefuu sasa na inakula pesa ile mbaya
 
Jamani vp Modem za Zantel zinaweza kuchakachulika? kwan naitumia kwa mda mrefuu sasa na inakula pesa ile mbaya

hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.
 
Tigo imemwaga modems mahususi kwa promo ya valentine kwa hiyohiyo bei ya 30,000/=, inaisha end of Feb.
 
hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.

kaka hebu ni PM nami nianze kula GB zao
 
Muganyizi na mie nipm namna ya kuzifaidi hizo gb za ztel, natanguliza shukrani
 
Wakuu mnaotaka ni wa PM, nyie ndio mnataka niwasaidie na bado mnataka mimi niwatafute inakuwaje hii? imekaa sawa kweli? leteni hizo PM haraka.
 
hakuna sababu ya kuichakachua hiyo modem ya Zantel , kama wamekula noti zako sana huu ni mda wako wakula GB zao... Nicheck pm nikupe ujanja.

Mh, kuchakachua...twaaafwaaaa!
 
Wizi bongo ni kitu cha kawaida tu... wao wanatuibia na sisis vile vile kuna shida gani hapo?
Ndo manake mi siwalaumu wala nini ila ndiyo hivyo tena wote ninyi ni wezi tu.........nashukuru umekubali though.
 
Mkuu nimejaribu kukutumia private message nikapata ujumbe kuwa umeblock private message
 
Back
Top Bottom